Kibosho Catholic Church lina umri wa miaka 130: Kwanini hili Kanisa lisiwe kivutio cha utalii?

Kibosho Catholic Church lina umri wa miaka 130: Kwanini hili Kanisa lisiwe kivutio cha utalii?

Mazingira ni mazuri na yanavutia mnoo...

Nimesali sana hapo.

Beautiful scenery...Beutiful view of mt kilimanjaro.
Huko Moshi ni kuzuri sana. Hili ni kanisa la kwanza kijengwa huko Kilimanjaro lipo Kilema. Wamissionari wa kwanza kabisa Moshi walishukia hapa Kilema.
Naam Kilema My Home sweet Home... Nimesali Sana hapo na kutumikia Miaka ya 1990+ Ni mahali panavutia mmno
 
wazungu, maana una mentality za kikoloni.
Hao wachagga wenzako wa kirima, umbwe, sakaeni, kibosho kati, mwengu, sungu juu na chininndio watalii, nyie mnabeza wazungu et hawatutakii mema alafu mnataka waje kutaliii?
Sisi wa kutoka maeneo haya tunajua mchango wa hawa watu ktk maendeleo yetu. Kamwe sidhani kama kuna mchaga wa kuwabeza wazungu kwani hata maendeleo yetu na fursa mbalimbali wana mchango mkubwa sana.
 
Hawa watu sijui walikuwa wanatumia mashine gani kujenga haya madude...

Yaani walikuja wakatukuta tupo tupo, wakajenga haya madude halafu wakasepa, na wala hatuna teknolojia ya ku replicate walichofanya
 
Hayo makanisa ya hivi yako mengi sana Tanzania hii,kuna lile lipo kule Magila Tanga nadhani ni Anglikan,pia kuna mengine yako Zanzibar...
 
Back
Top Bottom