wazungu, maana una mentality za kikoloni. Hao wachagga wenzako wa kirima, umbwe, sakaeni, kibosho kati, mwengu, sungu juu na chininndio watalii, nyie mnabeza wazungu et hawatutakii mema alafu mnataka waje kutaliii?
Sisi wa kutoka maeneo haya tunajua mchango wa hawa watu ktk maendeleo yetu. Kamwe sidhani kama kuna mchaga wa kuwabeza wazungu kwani hata maendeleo yetu na fursa mbalimbali wana mchango mkubwa sana.