Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeYaan dah!!
Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
poa poa kiongozi sikulaumu mana wanasemaga uzuri wa kitu upo kwa yule anayetazamaIla si kwa mwanamke kama huyo.
Siongei sana mtafute mtu aliyevimbiwa jinsi anavyochezea chakula ukipita tu utasikia karibuYaan dah!!
Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Itakuwa ndo yeye maana hizo Sifa anazompa tunda zimepitulizaHuyo kibosile sio Hance mtanashati kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maana anampendaga kwel kwelHuyo kibosile sio Hance mtanashati kweli?
Ni kazuri kwa muonekano lakini akili hakana, ila sura hizo kwa Moshi, Singida na Arusha ni za kawaida japo kuna mijinga inajifarijigi kwa kuungua kwao kwa meno japo si wote kutokana na maji ya uko kipindi wakiwa utotoniDada zetu Mna Moyo..
Heheeeeee makuuuubwa!
Kitakuwa kichwawi hiki[emoji6][emoji6][emoji6]hakina hata nyama lakini humu kina uzi zaidi ya kumi hadi wengine nimekuta wanakifananisha na selena gomez nilicheka kupaliwa, hiki kitoto walai ni kichawi khaaah.Najiuliza mapenzi ni shape, ndumba, uportable, sarakasi nyingi kitandani na mavilio mauno au umaarufu maana huyo tunda kapitwa na mademu wengi
Type ya mtu Ndiyo itadetermine!Nyie wanawake mwatosheka kweli? akija wa milioni 200 wabebwa tena
Hapana ni mtoto wa askari mmoja Morogoro anaitwa Saba Sita ila sijui kama bado Yuko Moro.Nilikuwa nawaza Saba Sita kaukwaa mkwanja maana mtoto siyo kwa Bata zile.Ni yule mtoto wa Afande sele??
mkuu utafungwa jelaDada zetu Mna Moyo..
huyu lazma atakuwa kaukwaa kafoji aonekane hanaHivi inawezekana huyo binti akawa nagative kweli? Maana wanaojiita wasanii kutwa wajabadilishana wapenzi tu.
Amefoji wapi mkuu, kwani kuna mahali aliombwa aoneshe vipimo vyake vya afya?huyu lazma atakuwa kaukwaa kafoji aonekane hana
na huyu kunajamaa wangu aliniambiaa anatoa sana 0714
Duh! Ndio Huyo?Mnakula tu ubuyu [emoji9] [emoji9] View attachment 435207 sponsor amechoka
tulimsema sana humu akaja kuonesha ameandikiwa yeye ni negativeAmefoji wapi mkuu, kwani kuna mahali aliombwa aoneshe vipimo vyake vya afya?
Haaaa! Hao wanaijiita wasanii kwa asilimia kubwa kama sio wote wameumia, dozi zinawastiri tu.tulimsema sana humu akaja kuonesha ameandikiwa yeye ni negative