Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Dada zetu Mna Moyo..

7dd768d7d92136440894f42597df17a5.jpg


bca0b8224a25e3c9952d49a46947130b.jpg
Ni kazuri kwa muonekano lakini akili hakana, ila sura hizo kwa Moshi, Singida na Arusha ni za kawaida japo kuna mijinga inajifarijigi kwa kuungua kwao kwa meno japo si wote kutokana na maji ya uko kipindi wakiwa utotoni
 
Najiuliza mapenzi ni shape, ndumba, uportable, sarakasi nyingi kitandani na mavilio mauno au umaarufu maana huyo tunda kapitwa na mademu wengi
Kitakuwa kichwawi hiki[emoji6][emoji6][emoji6]hakina hata nyama lakini humu kina uzi zaidi ya kumi hadi wengine nimekuta wanakifananisha na selena gomez nilicheka kupaliwa, hiki kitoto walai ni kichawi khaaah.
 
Ni yule mtoto wa Afande sele??
Hapana ni mtoto wa askari mmoja Morogoro anaitwa Saba Sita ila sijui kama bado Yuko Moro.Nilikuwa nawaza Saba Sita kaukwaa mkwanja maana mtoto siyo kwa Bata zile.
 
Back
Top Bottom