Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Hadi linajirecord eti kujieleza lilikuwa zenji kawaida tu, nahisi ni kiki za kina wema kumiliki nyumba hatimaye kodi ikaisha na kukamatwa anaiba umeme, na wanapenda kumtumia muasisi wa kiki East Africa cha domo, anawaonja then anawarithisha kwa macameran wake kiki linazungukia wcb, harmonise na gume waliishia wapi, mtaumbuka acheni kiki , nyumba ya milioni mia hupigii picha kutwa unapiga picha ukiwa kwenye vyoo vya mahotel uko Kenya
 
Wenye watoto wa kiume, watoto wenu wakifikia balehe msiwabane, waacheni wapitie hii hali ili wakikua wasiwe mabwege wa kuhonga kina Tunda aka "Fruit" Mil 100 enzi hizi za bro Magu
 
inasemekana etii, shilawadu nawaona mnavyo comment
 

Tatizo kibosile mume wa mtu na ana mtoto mkubwa angewahi kuzaa angemzaa Tunda
 
Wanasema n Yule mwwndishi wa Hawa the bus driver Na mabala the farmer
Aaaahaaaa, Richard Mabala....??? U cant b serious, nakaa nae hapa mtaani kinondoni kachoka kichiz kapanga kijumba analipa 200000 ndo anaweza miliki huo mzigo??? Mwacheni Mabala wa Mabalaa ajilie pensheni yake baada ya kazi ngumu ya kulielimisha taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…