Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Kibosile amtema Tunda baada ya kugundua anachepuka na Diamond

Yani bila picha hua hainogi kwa kweli cc Compact

1479318448599.jpg
 
Atarudiana na abdu kiba kama vipi!alisema yupo tayari siku yoyote atakayorudi atampokea
 
Najiuliza mapenzi ni shape, ndumba, uportable, sarakasi nyingi kitandani na mavilio mauno au umaarufu maana huyo tunda kapitwa na mademu wengi
 
Hivi inawezekana huyo binti akawa nagative kweli? Maana wanaojiita wasanii kutwa wajabadilishana wapenzi tu.
 
Wanawake watu wa ajabu sana yaani kuwa na hela na jina utawakimbia sasa kwa mdomo ule si anaweza kimeza kichwa chote cha mrembo nako hakana akili, baada ya kula na kipofu kanakomaa na Bwana wa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kumeza kichwa cha mtu umenchekesha,sema ndo hivyo hajajua kula na kipofu....
 
Kwa hiyo baba Tunda,Afande wa Jeshi la Polisi na yeye anamuombea mwanae Msamaha aendelee kugegedwa na Kibosile?

Hivi wazazi wake wana nia nzuri kweli na mtoto wao? Kwa nini wasimpigishe chini huyo jamaa na wamuelezee kuwa sasa amchukue Tunda Jumla jumla yaani wakaanze Familia?

Au wao wanajali Pesa tu?

Kweli Wachagga ndugu zangu Noma sana.
Huyo tunda siyo mchaga. .
.wachaga hawana huu upuuzi wa kujiuza. .
Sisi ni wachapa kazi tu .
 
Yaan dah!!
Ningempata Mimi huyo wa kunipa million hizo, natulia tuli hamna kubwabwaja na wabanduaji wa njee[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Nyie wanawake mwatosheka kweli? akija wa milioni 200 wabebwa tena
 
Back
Top Bottom