Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #41
Wewe kama nani acha kujipa u special wa kishamba bob,Wewe huna kima Cha kujadiliana na Mimi.
We jamaa sijakuonyesha aya ya Ibrahim na hijja au hausomi comment nini!!!Hebu kuwa serious. Alaf ukiitwa goi goi unakasirika.
Nionyeshe haya hapo uliponijibu haya
- Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
- Wap Ibrahim alifunga.
- Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
- wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
- Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
Soma aya ya 27 usikurupukeHapa umeonyesha kuwa alijenga Al kaaba.
Mm sijauliza hili.
Jibu hoja kama hakuna hoja kuna kioja jibu hicho kioja acha kulia lia kama Mbwa aliyekosa chakula unabweka nini sasaHuu mtandao umekua na wakristo mbumbumbu wao kutwa kucha ni kuja na hoja muflisi, matusi, kebehi kuhusu uislam.
Mkitaka mijadala na waislam kaeni kwanza chini msome tena msome hasa sio kishabiki kama anavyofanya mtoa mada.
Nimemaliza kazi yangu.Wewe kama nani acha kujipa u special wa kishamba bob,
Eti wewe Huna kima huyo kima ni kima gani?
Na kwanini awe kima?
Kima who?
Kima which?
Jibu hoja acha kuruka ruka kama maharage yanayotokota na defence mechanism za kishamba!
😂😂😂
Soma aya ya 27 usikurupuke
Jibu hoja kama hakuna hoja kuna kioja jibu hicho kioja acha kulia lia kama Mbwa aliyekosa chakula unabweka nini sasa
Shabhashhhh!
😅😅
Huu mtandao umekua na wakristo mbumbumbu wao kutwa kucha ni kuja na hoja muflisi, matusi, kebehi kuhusu uislam.
Mkitaka mijadala na waislam kaeni kwanza chini msome tena msome hasa sio kishabiki kama anavyofanya mtoa mada.
Nimemaliza kazi yangu.
Ndiyo huoni neno Hajj hapo?Haya nasoma.
Ni hii kama ulivyoileta ww.
Surah Al-Hajj 22:27
وَأَذِّن فِي النَّاسِ بِالْحَجِّ يَأْتُوكَ رِجَالًا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٍ يَأْتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٍ
“Na watangazie watu Hajj, watakujia kwa miguu na juu ya kila mnyama waliokonda, wakija kutoka kila njia ya mbali."
Hii aya Ndio imejibu zile hoja zangu 5?.
Ndiyo huoni neno Hajj hapo?
Sasa hoja yako umesema sio hijja sasa mbona unataja habari za kuzunguka kaaba,kumpiga jiwe shetani na kubusu jiwe au wewe unafikiri hijja ni niniNimeona.
Ila hoja zangu sio Hija.
Ni hizi
- Unionyeshe wap Ibrahim alizunguka kaaba mara 7.
- Wap Ibrahim alifunga.
- Wap Ibrahim alimpiga jiwe shetani.
- wap Ibrahim alibusu jiwe jeusi.
- Mitume na manabii wengne waliowah kwenda Hiji pale Makka.
Sasa hoja yako umesema sio hijja sasa mbona unataja habari za kuzunguka kaaba,kumpiga jiwe shetani na kubusu jiwe au wewe unafikiri hijja ni nini
Kuhusu kufunga nimekupa aya nyingine ukadai waliotangulia ni wakristo na wayahudi nikakwambia lete ushahidi mpaka sasa hivi ujaleta
Hili nimejibu soma post za juuKuhusu kufunga nimekupa aya nyingine ukadai waliotangulia ni wakristo na wayahudi nikakwambia lete ushahidi mpaka sasa hivi ujaleta
Vizuri kwa kukiri hujui hijja ni nini sasa nikuambie tu hizo hoja zako kama tatu hapo zimemezwa na hiyo aya inayoonyesha Ibrahim amehijjMm sijui hija. Ila nielezee Hija inatakiwa ukienda ufanye nini na nini.
Tumia quran na nionyeshe.
Kama mising ambayo Ibrahim aliiweka.
- Kuzunguka mara 7
- kubusu jiwe jeusi.
- kupiga jiwe shetan
- mitume na manabii walioenda Hiji
Unataka kuniambia ibrahim alijenga Nyumba ya Mungu na akaweka jiwe awe ana libusu?.
Kama aliweka ina maana alikuwa ana miungu mingne.
Kama hajaweka kwanini jiwe liko hadi leo na mnalibusu?.
Nani amekwambia jiwe ni mungu?Kama aliweka ina maana alikuwa ana miungu mingne.
Mbona sijaona umetumia maandiko gani kuthibitisha kuwa waliokuwa kabla yetu ni wayahudi na wakristo?Hili nimejibu soma post za juu
Kwahiyo Quran inadanganya inavyosema kuna waliopewa kitabu kabla yenu yaani Mayahudi na Manaswara?Vizuri kwa kukiri hujui hijja ni nini sasa nikuambie tu hizo hoja zako kama tatu hapo zimemezwa na hiyo aya inayoonyesha Ibrahim amehijj
Nani amekwambia jiwe ni mungu?
Mbona sijaona umetumia maandiko gani kuthibitisha kuwa waliokuwa kabla yetu ni wayahudi na wakristo?
Acha kudanganya wagalatia wenzako Israel sio nchi ya wakristoNeno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine.
Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina
Ilitokea mwaka 622 BK.
Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK.
Akiwa na umri wa miaka 40
Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia
Tukio lilitokea pangoni Hira, Makka.
Kwa kalenda ya Hijria
Ilikuwa miaka 13 kabla ya Hijra
(Ina maana ni 610 BK).
Mohamed akiondoka Makka kwenda Madina mwaka wa mwaka wa 1 Hijria .ukizingatia kalenda ya Kiislamu.
Ilikuwa ni hatua ya kisiasa, na aliondoka Makka kutokana na mateso na dhuluma za Quraysh.
Hivyo Mtume alienda Madina na kufungua jamii ya Kiislamu kule. (Ummah).
Baadae Mtume Muhammad alirudi Makka mwaka 630 BK , tukio linalojulikana kama Fathu Makka (Ukombozi wa Makka).
Huku akiongoza jeshi la Waislamu takriban askari 10,000.
Sanamu zilizokuwa ndani ya Kaaba zilivunjwa, na Makka rasmi ikawa kitovu cha Uislamu.
Na baada tu ya kuichukua Makka.
Kaboooom 💣💣💣 allah akashusha aya.
Qur’an 2:144
“Sifa kwa Allah aliyekufanya kuwa na mwelekeo wa moyo wako kwa ile nyumba (Kaaba) ulipo, na tulikufanya mwelekeo wa sala utakao pendelea. Nayo ndio hakika, na ni sawa kwa yeyote aliye miongoni mwa Waislamu…”
Hivyo mabadiliko yakafanya Kibla iwe Al kaaba Makka kutoka ilipokuwa awali (Bayt al-Maqdis- Jerusalemu).
Mtume alikufa Madina, katika nyumba yake, akiwa na umri wa miaka 63.
Kaburi lake lipo Masjid al-Nabawi, Madina hadi leo.
Pia Alikufa kabla wahyi wa Quran haujawekwa kama Kitabu Kimoja.
Na Ilichukuwa miaka 20 zaid Mbele kwa wanafunz wake wakusanye vipande vipande pamoja na simulizi za maswahaba walizohifadhi kichwan ili kukamilisha Quran.
Summary :-
- jamaa kapokea wahyi 610 BK. Akiwa Makka.
- akahama Makka 13 miaka mbele (yaan 622 Bk) kwaajili ya mateso ya wakureshi . Akiwa na maswahaba wake baadhi
- akarud kupigana Vita na waislam na kuichukua Makka na al kaaba mwaka 630 BK. Akiwa na wanajeshi elfu 10.
- akafa Madina 632BK.
HOJA:-
Kwa kipind chote kuanzia mwaka 610 BK hadi 630 BK waislam (hapa ni kabla ya kuichukua Makka) walikuwa wanaswali na kuabudu kuelekea Yerusalemu.
Tena bila Quran.
Yaani miaka 21 ya Utume wa Mohamed (kati ya 23 aliyojaliwa Utume) alikuwa anasali kuelekea Mji wa Kiyahudi na Wakristo.
Huku akitumia vitabu vyao kama reference kwasababu hakuwa na Kitabu cha kurefer.
Kumbuka pia miaka hii walikuwa wanafunga na kusali.
Hitimisho:-
Uislam umecopy Dini ya Kiyahudi/ Ukristo (vitabu ,visa na Mungu ) pamoja na kuchanganya Mila za Kikureshi.
(Kuabudu jiwe la Al kaaba, kulizunguka mara 7, kumtupia mawe shetani ,kufunga Ramadhan na Ashura -maana zilikuwepo kabla ya Mohamed na Uislam wake)
Jagina Covax Al-mukheef
Kisai
Nisahihisheni kama napotosha.
Kwa taarifa
CC
Ndugu zangu katika imani
hamis77
Dumas the terrible
Lwiva
Fortyseven
Hamatan
Maana masijid Ali Aqsa ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isaka
Na masijid Li haraam ( Maka) ameijenga Nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Ishmael
Katika maswala ya Mungu nyinyi wagalatia ni weupe sana ila tu huwa mnalazimishaNani anapotosha hapa kati yangu mm na ww?.
Wazolee
Bila shaka unaongelea Yerusalem.
Kabla ya kujengwa masjid Ali Aqsa
Lile eneo lilikuwa linatumika na wayahudi na baadae wakristo.
Hakukuwa na msikiti hata mmoja.
Ni eneo ambalo hekalu la wayahudi la kwanza na la pili lilijengwa. (Hekalu la Suleiman). Na yapata miaka 1000 kabla mtume hajazaliwa.
Miaka 21 mtume na maswahaba wake walikuwa wanabongoa kuelekea Yerusalem sehem ambayo hakukuwa na msikiti.
Mtume hakuwah kufika Yerusalem.
Hakuna ushahidi wa yeye kufika kimwili.
Hakuna mtu alimuona anapaa huyo faras wake.
Na Kwanini aende usiku?.
Ni hadithi tu.
Na Mohamed wakat anakufa hakukuwa na msikiti hata mmoja Yerusalemu.
Baadae. khalifa wa pili. Aitwae Khalifa Umar. Ndio alipigana vita na akatanua dola ya kiislam na kufika na akajenga msikiti wa kwanza Yerusalem.
Ndio huu unaitwa masjid Ali Aqsa.
Unataka ushahid wa Google?.
Hebu google ukiukosa nauleta mm.