Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
- Thread starter
-
- #101
Unaongelea kusujudu au kulibusu?
Kama kusujudu hatulisujudii rudi ukasome nini maana ya kusujudu au niombe picha za sijda
Kuhusu kulibusu Mtume alikuwa analibusu na Qur’an inasema tumuige yeye kwenye vitu avifanyavyo je kulibusu sio sehemu ya vitu alivyofanya?
Vitabu vipi umewahi kusikia waislamu tunajinasibu na biblia mara mathayo sijui?
Umewahi kusikia waislamu wakiwaita mitume wa wakristo kuwa ni Mitume?
Mtume yupi huyo Mathayo au Petro?
Eeh si mwanadamu
Wewe ndio unipe Andiko la kwenye Qurani linalosema mtahiriKusujudia jiwe nimekataa
Twende kwenye mada ya kutahiri nipe andiko linaloonyesha kwenye uislam hakuna kutahiri halafu mimi nilete andiko kuwa lipo
Rudi darasani ukajifunze tofauti ya uyahudi race na uyahudi dini utakuja kunishukuruKuna siku nilikutajia Mitume 24 waliotajwa kwenye Quran pamoja na visa vyao.
Kati ya hao Mitume. Wanne tu ndio waarabu .
Wengne 20 ni Wayahudi.
umeona ni kwa namna gani Uislam unavyojinasibisha na Wayahudi na Wakristo.
Sina dhehebuWewe ni madhehebu gani
Usichanganye Madesa.Rudi darasani ukajifunze tofauti ya uyahudi race na uyahudi dini utakuja kunishukuru
Pia hata hao wayahudi wa taifa hawafiki 20🤣
Kwani hujuelewa mwenzako alivyokuambia kuwa hizi ibada zilianza na Ibrahim mtoto wa Azar kisha wapagani ndio wakaiga🤣Ni sawa. Paken pia na Wanja kama alivyokuwa anafana yeye.
Kwahiyo ukiacha kuiga anachofanya.
hakuna sehem Allah aliwaambia mbusu jiwe .
Kubusu Jiwe lilikuwa ni Tendo la wapagani waliokuwa wanaabudu masanamu ya pale alkaaba.
Injil sio kitabu cha wakristoMnajinasibu na Injili. Na Quran inasema Injili ilishushwa.
kuna mitume 24 kwenye Quran. Na wametajwa kabisa. Na 20 ni wa Wayahudi.
Kwan hili hujui?.
haiondoi hoja yangu kuwa hakuna agizo la kubusu jiwe kwenye Quran.Kwani hujuelewa mwenzako alivyokuambia kuwa hizi ibada zilianza na Ibrahim mtoto wa Azar kisha wapagani ndio wakaiga🤣
Injili ni kitabu cha kina nan?.Injil sio kitabu cha wakristo
Kuhusu habari za Mitume elimu nimeshakupa
Wanaona Aibu tu kukujibu ila wanatamani wakujibu kuwaInjili ni kitabu cha kina nan?.
Wewe ndio unipe Andiko la kwenye Qurani linalosema mtahiri
Najua Hilo Andiko halipo kwakuwa sio Imani ya Ibrahimu Al-Azar
Hakuwahi kuagizwa kufanya hivyo popote pale
Ama kama aliagizwa weka Hilo Andiko hapa ili tuone kweli mnafuata Imani yake:
Hakuna Wahayi wowote ulioteremshwa kwa Mtume Muhamadi kuwaagiza Mtahiri
Ndio maana Muhamadi hakutahiriwa kabisa kabisa
Wanaona Aibu tu kukujibu ila wanatamani wakujibu kuwa
Torati, Zaburi na Injiri ni vitabu vya Waislamu
Hawa jamaa unahitaji ujitoe ufahamu ili ujadiliane nao
Ni Waongo sijapata kuona
Lete Andiko la kwenye Qurani, Mimi hizo hadithi sifahamu zimetokea wapi na zina uhusiano gani na maagizo ya Allah kwa Muhamadi;
Sasa kama wametajwa wayahudi kama race kwa nini uhusianishe na hiyo dini kwani kila myahudi ni wa hiyo dini?Usichanganye Madesa.
Wametajwa as Wayahudi.
Iwe kidini au Kirace. Haiondoi dhana kwamba wametoka uyahudini na ni wayahudi na wametajwa kwa wing kwenye Quran.
Kitabu cha Allah alichompa Mtume wake IsaInjili ni kitabu cha kina nan?.
Hapana Andiko linasema Wanafunzi wa Isa bin Mariam ndio walikuwa Waislamu;Kuna lile andiko kwenye Quran linasema wanafunzi wa Yesu walikuwa waislam 😊😊😊😊
Toa hayo maandiko ya Biblia sisi wala hatujinasibu nayo huo ni wasiwasi wako tu sisi wala hatumtambua Ibrahim Terahaiondoi hoja yangu kuwa hakuna agizo la kubusu jiwe kwenye Quran.
Nimemuelewa vizur. Kwahiyo msijinasibu na Ibrahim wa Tera, wala lile andiko la kiyahudi linalosema watoto wa Ibrahim watakuwa taifa kubwa. Coz waarabu haliwahusu.
na ile tamaduni ya kuchinja na kutahiri. Haiwahusu.
Unakataa maneno ya Mtume wakati Qur’an imesema yafuatwe na ndio msingi wa pili wa dini?Lete Andiko la kwenye Qurani, Mimi hizo hadithi sifahamu zimetokea wapi na zina uhusiano gani na maagizo ya Allah kwa Muhamadi;
Huko kunyoa Nywele na kukata kucha na Ndevu ni amri za Allah au utamaduni wa Waarabu?:
Lete Andiko la Wahayi wa Allah kwa Muhamadi na sio vigazeti vya uchocholoni huko ambako sijui mnaviokotaga wapi
Huyo Messenger wa Allah aliagizwa na nani kusema mkate kucha na kunyoa Ndevu ?
Wacha kutapatapa Kijana:
Abu Huraira ndio nani huyo ?
Andiko liko kwenye Quran linalosema wanafunz wa Yesu walikuwa waislam.Hapana Andiko linasema Wanafunzi wa Isa bin Mariam ndio walikuwa Waislamu;
Yule Miriam dada wa Musa na Haruni kutokana na ile Sura ya Majini:
Wao wanamwita Mariam badala ya Miriam
Yaani hao ni watu wa kumix Ups and Downs ilimradi watu waikubali Dini ya Kiislamu