Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

Andiko liko kwenye Quran linalosema wanafunz wa Yesu walikuwa waislam.

Inashangaza sana.
Maana huwez kuwa Muislam had useme Shahada.
Sasa sijui walisemaje wakat jina Allah walikuwa hawalijui.
Mwenzako anakuambia wanafunzi wa Isa wewe umekomaa Yesu kwani si tulikubaliana Ibrahim wale ni wawili tofauti sasa kwani nini Yesu na Isa unamfanya kuwa mmoja huoni sasa weww ndio unanasibisha dini yako na dini yetu?
 
Toa hayo maandiko ya Biblia sisi wala hatujinasibu nayo huo ni wasiwasi wako tu sisi wala hatumtambua Ibrahim Tera

usinichoshe. Kwan hulijui andiko linalosema Ishmael amebarikiwa ila Isaka amebarikiwa zaid na atakuwa baba wa mataifa.
 
Unakataa maneno ya Mtume wakati Qur’an imesema yafuatwe na ndio msingi wa pili wa dini?

Huamini Qur’an wala hadith maana ukiamini Qur’an moja kwa moja inakupeleka kuamini na hadith
Nyie mnafuata MANENO ya Mtume Muhamadi au
MANENO ya Allah aliyemshushia Muhamadi kupitia Malaika wenu Gibrili ?

Hivi hapo anaongea Muhamadi au Abu Huraira ?

Kwahiyo Muhamadi alivyo mtongoza mtoto Aisha wa miaka sita unataka na mimi nione sawa tu:
kwakuwa Muhamadi kamtongoza:

Utakubali nikuwekee MANENO mengine aliyo mwongelea Mtume wako huyo mhuni
Abu Huraira ?
 
Mwenzako anakuambia wanafunzi wa Isa wewe umekomaa Yesu kwani si tulikubaliana Ibrahim wale ni wawili tofauti sasa kwani nini Yesu na Isa unamfanya kuwa mmoja huoni sasa weww ndio unanasibisha dini yako na dini yetu?

Naona umeshindwa kujibu hoja.
 
Nyie mnafuata MANENO ya Mtume Muhamadi au
MANENO ya Allah aliyemshushia Muhamadi kupitia Malaika wenu Gibrili ?
Hivi hapo anaongea Muhamadi au Abu Huraira ?

Kwahiyo Muhamadi alivyo mtongoza mtoto Aisha unataka na mimi nione sawa tu
Qur’an imasema nini kuhusu Muhammad?
Wewe unataka maandiko kutoka kwenye Qur’an ukipewa unakataa na kama kweli unayata hayo basi anza kuamini pale iliposema tufuate maneno ya Mtume Muhammad

Kuhusu Abu Huraira ni Swahaba wa Mtume Qur’an inatutaka tufuate maagizo ya Mtume na Mtume akatutaka tuwafuate maswahaba zake tumia logic tuunganisha hapo
 
Lete Aya za Qurani
Huyo Abu Huraira ndio nani ?

Muhamadi ni Binadamu kama wewe na alifanya Dhambi nyingi tu;
Hadi Allah akamwambia atubu kwa Dhambi lukuki anazozifanya:
Lete Aya za Qurani hapa tuzijadili
 
Lete Aya za Qurani
Huyo Abu Huraira ndio nani ?

Muhamadi ni Binadamu kama wewe na alifanya Dhambi nyingi tu;
Hadi Allah akamwambia atubu kwa Dhambi lukuki anazozifanya:
Lete Aya za Qurani hapa tuzijadili
Mpaka hapo umeshakataa Qur’an siwezi nikakuletea kitu ulichokikataa nitajisumbua tu

Labda nikusikilizie wewe ulete andiko kuwa Mtume hakutahiriwa
 
Mpaka hapo umeshakataa Qur’an siwezi nikakuletea kitu ulichokikataa nitajisumbua tu

Labda nikusikilizie wewe ulete andiko kuwa Mtume hakutahiriwa
Lete Aya za Qurani na sio MANENO ya huyo mhuni?
Au Qurani haijitosherezi

Sema basi ili tuhamie kwa huyo Abu Huraira
 
Eti "Kibra" 😁
 
Uislam umekuja miaka zaidi ya 500 baada ya ukristu, na ukiangalia hadithi zake, mitume, traditions na maandishi mengi yanafanana na maandiko ya wakristo, usipokuwa bias utaona copy and paste nyingi sana za uislam kutoka ukristo
 
Sio ukafiri unaweza kuelezea wenye madhehebu wamepinga nini?
Jibu je madhehebu yapo kwa muongozo wa nani ? Je ni muongozo wa Allah..je ni muongozo wa Mitume? Je ni muongozo wa manabii? Je ni kwa muongozo wa Sunnah? Je ni kwa muongozo wa msahafu au hadithi ?...hapo utajua kuwa madhehebu ni Ukafiri kwa asilimia 100% je Muhammad ni madhehebu gani?..
Ije yesu hana madhehebu?
 
Tatizo haujui maana ya ukafiri,kuwa na madhehebu kunaweza kusiwe sahihi lakini hakumfanyi mtu kuwa kafiri labda useme utakuwa unapinga nini
 
Tatizo haujui maana ya ukafiri,kuwa na madhehebu kunaweza kusiwe sahihi lakini hakumfanyi mtu kuwa kafiri labda useme utakuwa unapinga nini
Sifa moja wapo ya kafiri ni kutupwa motoni je mtu mwenye madhehebu ni wa peponi ?...hakuna mtu mwenye kuanzisha madhehebu au mwenye kuwa na madhehebu hata mmoja hatakaye ingia peponi hii ninayo kupa ni kanuni ya kimungu ..hivyo huyo ni kafiri tu
 
Kama unaongelea kwenye dini yako sawa
 
Kama unaongelea kwenye dini yako sawa
Muhamada kasema ..tatizo lenu waislamu ni sawa na tatizo la wakristo ...kuna sehemu Muhammad kaeleza haya ninayo kuambia ila uelewa wenu ni mdogo hivyo msomapo hayo maelezo ya Muhammad mnashinda kutambua kuwa alikuwa anaongelea madhehebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…