Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaelewa siku Kibu akitangazwa kuwa mchezaji wa nyuma mwiko.Mbna mmemuonea Eng hersi
nch gni hiyo TZ au😂😂Huko kwenye mpira hakuna wasomi??
Ni mauza uza tu.nch gni hiyo TZ au😂😂
Kibu mwenyew mkongo sasa unategemea nnWachezaji wa kibongo wanajichafua sana, hawana tofauti na wakongo. Sheria ingebadilishwa timu iweze kusajili hta 100% wawe wachezaji wa kigeni.
Hebu acheni ubwege basi hata kama umempa mtu dunia yote peke yake,akaja bwege akampa dunia na sayari zake....atakutorokaaaaa.......tuuuuuu,!... [emoji599] 𝗖𝗢𝗡𝗙𝗜𝗥𝗠𝗘𝗗
Kibu Denis amerudisha pesa zote za signing fee pamoja na mshahara wa mwezi mmoja (1) alizopewa na Simba SC kupitia Bank ya NMB kwenye account ya Simba Sports.
[emoji3482] Kibu Denis Prosper 'Mkandaji' yuko Nchini Norway kwa ajili ya mapumziko
"Sisi tunamtambua Kibu Denis kuwa bado ni mchezaji wetu, mchezaji wetu mtoro. Simba tulitimiza wajibu wetu kwa asilimia 100%, nasema haya ili kila mwanasimba ajue"
[emoji2399] Ahmed Ally - Morogoro
Anarudisha pesa kama simba walinunua vitumbua kwake?
Hivi huko kwenye soka si kuna sheria na kanuni zake za kuvunja mikataba? Au ukirudisha tu pesa inakuwa umemaliza?
Mikataba inasemaje? Kurudisha pesa???? Au kutumikia simbaDuu bora kama karudisha pesa
Nadhani ukosefu wa Elimu unachangia sana. Yaani kama ingekuwa hivi sijui kama kuna taasisi zingekuwepo hapa Duniani. Sijajua nani anamdanganya na kwa manufaa gani. Hii tabia ikiendelea ni hatari sana kwa soka letu. Kwamba mchezaji akijisikia tu anarudisha pesa analala mbele? Tutafika kweli?
Hivi anadhani Simba mbumbuu kiasi hicho, wachezaji wao wote huwafunga na kipengere cha kuvunja mkataba, alichofanya ni utapeli na wizi wa kuaminiwa.
Walio nyuma yake wanamdanganya
Akina nani? Unaweza niwekea reference yangu inayoonesha niliona rahisi?Jamani mbona kwa Feisal mliona rahisi tu, muacheni Kibu aweke hela atembee kachoka kubeba ndoo za sabuni.
sisi yanga tulikataa msishadadie alichofanya Fei coz tuliona mbali sana ona sasa yamewakuta yale yale kwanini msiwe wapole?Hela za Mkataba zinarudi bila makubaliano mengine tena..hawa jamaa nani anawadanganya kufanya hivi kama kweli atakua karudisha hela bila kukaa mezani kafanya mambo ya kiboya sana..
tuliwaambia wasimshanglie Fei wakaona sisi makolo kama wao sasa wanalia liaWanamdanganya vipi? Si kaweka hela kwenye account kama Fei shida nini? Haya mambo tulijua tu huu upuuzi utaendelea baada ya sakata la Fei.