Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili mkuu nadhani huna taarifa sahihi,kibu kakulia kwenye kambi za wakimbizi zilizopo hapa nchini hata na Geita gold mine wakati ipo ligi daraja la kwanza walimsajili kutokea kwenye kambi,na alipoanza kucheza geita timu za ligi daraja la kwanza zilianza kulalamika,kwa kuwa geita ni timu ya halmashauri wakafanya magumashi wakampa kitambulisho cha taifa,tatizo lilianzia hapoUnauhakika gani na wakati ndugu zake wote mpaka mke wake na watoto wake wanaishi marekani
Kuficha ujinga wake ni lazima awe na akili inayofanya kazi hata kwa per cent ndogo.Mara nyingi huwa naskip comments zako kwa sababu nakuchukulia kama mtu usije na hoja na msingi. Naona hata hili dogo umeshindwa kuficha ujinga wako
Ona sasa.Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
marekani ni pesa zako tu hata wakwako unaweza pelekaUnauhakika gani na wakati ndugu zake wote mpaka mke wake na watoto wake wanaishi marekani
Kunatofauti sana kibu denisi kakulia Tanzania,kasoma primary& secondary Tanzania,kaishi zaidi ya miaka kumi,akipewa uraia anakidhi vigezo vyote ondoa neno mlango wa nyuma ni kulingana na Sheria na taratibu ,hao kina bada na kayekhe wana miaka mingapi Tanzania?Washabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Iraia wa kibu ulikua na mashaka thus ukasibitishwa. Hao wengine ni total foreigners na hawajakaa nchi hata miaka miwili licha ya mitano inayotakiwa. Ajifunze kutofautishaWashabiki wa Simba na viongozi wao ni wasahaulifu sana Kibu Dennis alipewa uraia kwa mlango wa nyuma tena kwa kauli ya wazuri mkuu lakini hawakulalamika
Leo hii Singida Black Stars wamefanya kilekile walichofanya Simba inakua nongwa tuacheni double standards
Soma:
Yani familia yake wanaishi Marekani yeye abakie huku ukimani, yani ata wewe mkeo na Wazazi wako wawe wanaishi Marekani halafu wewe uishi Bongo, Kuna mswahiili ambae hapendi kuishi Marekani Kama Raisi wa nchi na viongozi wake kila siku kiguu na njia wanaenda Marekani tena bila muahariko wowote kutoka kwa Viongozi wa leo zao, Raisi akipewa muhariko na RIHANA kutembelea studio yake Raisi atakimbia mbio kwenda uko Marekani, Sembuse Kibu.Unauhakika gani na wakati ndugu zake wote mpaka mke wake na watoto wake wanaishi marekani