Kibu Denis amemzidi nini Ditram Nchimbi?

Jamani mtamlaumu Tu kibu Kwa sababu mpira wa Jana walikuwa wanacheza pungufu , Kwa jinsi ambayo wabenin waliovokuwa wanacheza mpira ulikosekana muunganiko wa kiungo cha Kati 6& 8 walikuwa hovyo kabisa kipindi cha Kwanza kulikuwa na uhai mbele kidogo Kwa madefenda kutumia mipira mirefu ya juu ambayo toto aliifanyia vyema lkn waliokuwa wakicheza chini yake hakukuwa na muunganiko kabisa ndiyo maana ilifikia kipindi toto anashuka chini kabisa kuchukua mipira,

Kwa hiyo tatizo lililotuponza Jana ni mzamiru

Hakika sasa hivi hawezi tena

Na akiendelea kumchezesha tutafungwa Sana Tu

Magoli ni mipango, bila mipango ni ngumu Sana kufunga

Labda bahati tu
 
Achana na Mpira mzee maana hufuatilii hujui hata nn kinaendelea!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaan mnataka kumfananisha Kibu na yule Mngoni ambaye amekaa mwaka mmoja bila hata kufunga hata kwenye mazoezi na anacheza kwenye nafasi ya Ushambuliaji!
 
Fei ndio ilikuwa tatizo juzi hakujua wenzake wanachezaje,nini kifanyike yeye ilimradi yupo uwanjanii
 
KUleta u Simba na u Yanga kwenye timu ya taifa hii dhambi itatufikisha pabaya ikija jambo la utaifa tuache ushabiki maandazi
 
Nchimbi!!!!!!?, Mchezaji ambaye mwaka mzima hafungi goli hata moja duh bora KIBU ambaye kipindi yuko mbeya city alifunga magoli 8+
 
N
Ni kujidanganya kwa kufikiri kuwa unaweza kufanya scientific analysis kwa mechi moja. Nchimbi unayemlinganisha na Kibu keishacheza mechi kibao hakuna lolote keishaonesha. Wacha tumpe muda.
 
N

Ni kujidanganya kwa kufikiri kuwa unaweza kufanya scientific analysis kwa mechi moja. Nchimbi unayemlinganisha na Kibu keishacheza mechi kibao hakuna lolote keishaonesha. Wacha tumpe muda.
nimekuwa ninamjua tangu akiwa Geita Gold FC je wewe umeanza kumfahamu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…