SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe unabokolewa,junya wewe.Kuna tofauti kubwa kati a demigod na wewe (Dida Mashauzi).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unabokolewa,junya wewe.Kuna tofauti kubwa kati a demigod na wewe (Dida Mashauzi).
Fei ndio ilikuwa tatizo juzi hakujua wenzake wanachezaje,nini kifanyike yeye ilimradi yupo uwanjaniiJamani mtamlaumu Tu kibu Kwa sababu mpira wa Jana walikuwa wanacheza pungufu , Kwa jinsi ambayo wabenin waliovokuwa wanacheza mpira ulikosekana muunganiko wa kiungo cha Kati 6& 8 walikuwa hovyo kabisa kipindi cha Kwanza kulikuwa na uhai mbele kidogo Kwa madefenda kutumia mipira mirefu ya juu ambayo toto aliifanyia vyema lkn waliokuwa wakicheza chini yake hakukuwa na muunganiko kabisa ndiyo maana ilifikia kipindi toto anashuka chini kabisa kuchukua mipira,
Kwa hiyo tatizo lililotuponza Jana ni mzamiru
Hakika sasa hivi hawezi tena
Na akiendelea kumchezesha tutafungwa Sana Tu
Magoli ni mipango, bila mipango ni ngumu Sana kufunga
Labda bahati tu
Ni kujidanganya kwa kufikiri kuwa unaweza kufanya scientific analysis kwa mechi moja. Nchimbi unayemlinganisha na Kibu keishacheza mechi kibao hakuna lolote keishaonesha. Wacha tumpe muda.Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama.
Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya Kugawa Uraia kwake. Ni kheri tungempa uraia Steven Sey (Namungo FC)
Baada ya kufanyika mabadiliko na Mwl Kim Poulsen nikaja kugundua kuwa tumepoteza nafasi ya Uraia kwa mtu asiye na cha ajabu sana katika uchezaji wake wa Mpira.
Hata ukijaribu kuchambua uchezaji wake na takwimu zake kiujumla huoni tofauti kati yake yeye na Ditram Nchimbi.
Nilicho kuja gundua kingine ni kuwa mshawasha uliopo machoni pa watanzani kuhusu Kibu Denis unatokana na uhalisia kuwa watanzania wengi hawajawahi kushuhudia jitu lenye miraba saba likiichezea timu yao ya Taifa, hivyo wakadhani wamejiokotea Lukaku Wao.
Kiuhalisia uwepo wa Kibu Denis kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania kunapunguza hamasa na ladha ya Ushindi. Maana mara nyingi anaonekana akikosa basic skills kama vile Kupokea Mipira, Anticipation, Ball Control, Tactical Decisions.
Nadhani kama tusinge muingiza Kibu Denis kwenye mechi ya leo basi Taifa Stars tungepata Ushindi.
Sioni Taifa Stars ikipata matokeo ya Ushindi endapo Kibu Denis anahusika kwenye mechi.
nimekuwa ninamjua tangu akiwa Geita Gold FC je wewe umeanza kumfahamu lini?N
Ni kujidanganya kwa kufikiri kuwa unaweza kufanya scientific analysis kwa mechi moja. Nchimbi unayemlinganisha na Kibu keishacheza mechi kibao hakuna lolote keishaonesha. Wacha tumpe muda.
Mi namfahamu akicheza ndondo!nimekuwa ninamjua tangu akiwa Geita Gold FC je wewe umeanza kumfahamu lini?
nimekuwa ninamjua tangu akiwa Geita Gold FC je wewe umeanza kumfahamu lini?