Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Star wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi,
Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo

Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion 20 Kwa mwezi Ana bonuses mbalimbali

Anacheza timu ya taifa

Ajabu mzazi wake anakufa marafiki wanafika aibu wazazi wake wanaishi kama digidigi

Kibu asisingizie Urai

Ashapewa Urais Kitambo yeye na familia yake
Ana sifa zote za raia wa TANZANIA ikiwa ni pamoja na kumiliki ardhi, kupiga kura n k

Hivi kama sio kutokujielewa Kibu anakosa hata milion 10 ili kumjengea Mzee wake nyumba huko Kigoma

Binafsi hili liwe somonkwa mastaa kusahau kwao na wazazi

Tukumbuke wazee wetu
1763053569186.jpg
1763052276563.jpg
 
View attachment 3501383View attachment 3501385
Mbona wazazi ukataa kuwajengea watoto wao nyumba hadi kufikia kusema mtoto kutegemea mali ya urithi ni upumbavu ?
 
Mbona wazazi ukataa kuwajengea watoto wao nyumba hadi kufikia kusema mtoto kutegemea mali ya urithi ni upumbavu ?
Wazazi wa Kibu hawakuwa na uweZo mzuri kiuchumi
 
Hapo ni kambi ya wakimbizi Nyarugusu. Nyumba ni za aina hiyo, hawaruhusu kujenga advanced zaidi ya hapo.
Kibu na wazazi wake ni raia wa TANZANIA alishindwa kununua ka kiwanja hata 20*20 amjengee baba yake kibanda?
 
Fanyeni mambo kwa ajili yako mwenyewe na sio kuwa kisa aibu kwani ukipata aibu unapoteza nini na ukiheshimiwa Kuna kitu Gani una gain.
Do things that you're feeling, hizo nyumba kwanza ni nzuri kuliko izo mnazoishi , tuanzie kwanza na hewa safi unapata na materials ni ya asili sio Kama hayo mnayovuta hewa za kiwandani mnajaza kwenye mapafu. Jiulize why mnaugua kansa sana mjin
 
Back
Top Bottom