Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

Tumetofautiana mila na mitizamo na ninaheshimu hilo.
Mimi siwezi kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri huku wazazi walionilea kwa kujituma kwa jasho na damu kuhakikisha nimefika hapa nilipo, wakiishi kwenye mabanda ya nyasi...haiwezekani.
Je wazazi wako wanaweza kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri na kukulaza wewe kwenye mabanda ya kuku ? Kama ni hivyo basi wewe utawatendea mema na fadhira wazazi wako na kuwatendea maovu watoto wako .....ulitakiwa kusema wewe uwezi kulala kwenye nyumba nzuri na kuwaona watoto wako wanalala kwenye mabanda ya kuku na nyasi .....ukiwa unadaiwa deni la laki 1 na mtu baki kisha pia unaombwa sh laki 1 na mzazi wako ya birthday basi tambua ukimpa mzazi laki 1 na kuacha kulipa deni hapo wewe unakuwa umefanya FADHIRA DHIDI YA HAKI ...KULIPA DENI NI HAKI SIYO FADHIRA NA HAKI INATAKIWA KUITANGULIA FADHIRA KWA SABABU HAKI IPO JUU YA FADHIRA.
 
Hapo ni kambi ya wakimbizi Nyarugusu. Nyumba ni za aina hiyo, hawaruhusu kujenga advanced zaidi ya hapo.
Sio kweli, huyo si alishapewa uraia muda mrefu sasa kinachowafanya waendelee kuishi hapo ni nini. Huyo asitetewe, milioni 240 kwa mwaka ndio wazazi wake bado wanaishi utafikiri wako medieval era . Bure kabisa huyo Kibu Dennis.
 
Je wazazi wako wanaweza kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri na kukulaza wewe kwenye mabanda ya kuku ? Kama ni hivyo basi wewe utawatendea mema na fadhira wazazi wako na kuwatendea maovu watoto wako .....ulitakiwa kusema wewe uwezi kulala kwenye nyumba nzuri na kuwaona watoto wako wanalala kwenye mabanda ya kuku na nyasi .....ukiwa unadaiwa deni la laki 1 na mtu baki kisha pia unaombwa sh laki 1 na mzazi wako ya birthday basi tambua ukimpa mzazi laki 1 na kuacha kulipa deni hapo wewe unakuwa umefanya FADHIRA DHIDI YA HAKI ...KULIPA DENI NI HAKI SIYO FADHIRA NA HAKI INATAKIWA KUITANGULIA FADHIRA KWA SABABU HAKI IPO JUU YA FADHIRA.
Sawa.
Uzuri ni kwamba wewe una wazazi wako na mtizamo wako, na mimi hivyo hivyo.
Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Sawa.
Uzuri ni kwamba wewe una wazazi wako na mtizamo wako, na mimi hivyo hivyo.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Nyinyi ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema 👉 BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU 😁😁😁
 
Kama hujui ULIZA. Kibu wazazi wake wanautambulisho wa ukimbizi mpaka Leo wanaishi kambi ya wakimbizi NYARUGUSU huko kibondo.

Huko makambini wanaahudumiwa na UNHCR ambapo kila familia inapewa kibanda Cha kujihifadhi.

Familia ikiongezeka wanaruhusiwa kuongeza majengo kwa malighafi zinazopatikana huko huko kambini hawaruhusu misaada individual kutoka nje ya kambi, ndio maana wenye vijiuwezo kidogo wanajenga hata hivyo vibanda vya nyasi.

Kibu hana chochote Cha kuwasidia wazazi wake na hata huo msiba watakuwa wameingia kwa spesho permission kulingana na influence ya kibu au simba na Kuna kuwa na ulinzi wa kutosha kuhakikisha kwamba mnatoka kama mlivoingia.
 
Sio kweli, huyo si alishapewa uraia muda mrefu sasa kinachowafanya waendelee kuishi hapo ni nini. Huyo asitetewe, milioni 240 kwa mwaka ndio wazazi wake bado wanaishi utafikiri wako medieval era . Bure kabisa huyo Kibu Dennis.
Wacha mihemko. Wazazi wa kibu bado wapo kambini NYARUGUSU kibondo. Kibu uraia alipewa kisiasa kila mtu anajua. Wacha kushupaza shingo.
 
"If ignorance is a sin, then stupidity must be the greatest sin, for in stupidity you already have the knowledge but still choose to ignore it."

“Kama ujinga ni dhambi, basi upumbavu lazima uwe dhambi kubwa zaidi, kwa sababu katika upumbavu tayari una maarifa lakini bado unachagua kuyapuuza.”
 
HIzo nyumba ni nzuri kiafya nikuambie wewe unajiona kuwa unaishi vizuri kisa umejenga hizo Ila fuatilia kiafya sio nzuri, kwanza mtu anavuta natural air from natural building materials.

Kama mtu akashiba nafsini mwake wewe ndiye unayeteseka rohoni kwako na ndio unaishi nyumbani ya milioni nyingi Ila bado.unateseka unatoa cortisol why una kitambi
Akili kama hizi ndio mtaji wa CCM
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Hapo ni eneo la Kambi za wakimbizi hawaruhusiwi kujenga nyumba au makazi ya kudumu.
 
Tupo kwenye maombolezo ya ndugu zetu waliouwawa kikatili na serikali ya ccm ,

Ungepitia kikombe alichopitia Kibu usingeleta huu uzi hapa .
 
Nyinyi ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema 👉 BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU 😁😁😁
Vipi na wewe ndo wale wapumbavu mnaosubiliwa kijengewa na watoto?
 
Star wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi,
Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo

Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion 20 Kwa mwezi Ana bonuses mbalimbali

Anacheza timu ya taifa

Ajabu mzazi wake anakufa marafiki wanafika aibu wazazi wake wanaishi kama digidigi

Kibu asisingizie Urai

Ashapewa Urais Kitambo yeye na familia yake
Ana sifa zote za raia wa TANZANIA ikiwa ni pamoja na kumiliki ardhi, kupiga kura n k

Hivi kama sio kutokujielewa Kibu anakosa hata milion 10 ili kumjengea Mzee wake nyumba huko Kigoma

Binafsi hili liwe somonkwa mastaa kusahau kwao na wazazi

Tukumbuke wazee wetu
View attachment 3501383View attachment 3501385
Kawaida yenu wanawake kufuatilia maisha ya watu. Ukienda kwenye msiba fuata msiba. Hayo mengine waachie wengine. Wanawake mnapenda sana umbea
 
Back
Top Bottom