secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
😂, Mkuu kimekufurahusha nini?😂
😂, Mkuu kimekufurahusha nini?😂
Soma mtililiko wa comment naona umekurupuka ....Vipi na wewe ndo wale wapumbavu mnaosubiliwa kijengewa na watoto?
Kama wazazi wake ni wakimbizi hayo ndiyo maisha yao. Kambini hawaruhusiwi kujenga nyumba za kudumu, na ukitaka kujenga nyumba ya bati lazima.upate Kibali kutoka kwa mkuu wa kambi. Sema Wakongo wengi wana ndoto za kufanyiwa resettlement nchi za ulaya vinginevyo Kibu angeweza kabisa kuwahamishia mjini wazazi wake maana ana uwezo wa kiedha.Ajabu mzazi wake anakufa marafiki wanafika aibu wazazi wake wanaishi kama digidigi
Sina la kusema mkuu 😂😂, Mkuu kimekufurahusha nini?
Noma sana mkuuSina la kusema mkuu 😂
Wazazi wake siyo raia wa Tanzania.Kibu na wazazi wake ni raia wa TANZANIA alishindwa kununua ka kiwanja hata 20*20 amjengee baba yake kibanda?