Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

Umasikini sio sifa , hakuna anaependa kukaa nyumba ya hivyo
 
Umasikini sio sifa , hakuna anaependa kukaa nyumba ya hivyo
HIzo nyumba ni nzuri kiafya nikuambie wewe unajiona kuwa unaishi vizuri kisa umejenga hizo Ila fuatilia kiafya sio nzuri, kwanza mtu anavuta natural air from natural building materials.

Kama mtu akashiba nafsini mwake wewe ndiye unayeteseka rohoni kwako na ndio unaishi nyumbani ya milioni nyingi Ila bado.unateseka unatoa cortisol why una kitambi
 
Mbona naona kama ndiyo utamaduni wao wa hapo? Ni sawa uende ngorongoro kwa wamasai useme watoto wameshindwa kuwajengea wazazi wao nyumba maana zote ni za tembe.

Ukienda Roma ishi kama waROMA.
 
Kibu na wazazi wake ni raia wa TANZANIA alishindwa kununua ka kiwanja hata 20*20 amjengee baba yake kibanda?
Lakini bado walikuwa wanaishi ndani ya kambi ya wakimbizi Nyarugusu
 
Kibu Denis amezaliwa kwenye kambi za wakimbizi.
Amepata uraia baada ya kujiunga na Simba.
Huenda huo uraia alipata yeye tu ila wazazi wake walikuwa bado. Nimefanya kazi huko, wazazi wake walikuwa wako kambini. Na huko haparuhusiwi kufanya maendeleo yoyote.
 
Haya mambo yapo kwetu ukiwa na hela kwenu pakiwa hapaeleweki unanyooahewa kidole ww
 
Pole sana Kibu Dee kwa kumpoteza mzee wako, Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Mtoto hana jukumu la kumjengea mzazi nyumba.
Mzazi hukuzaa ili uje lelewa na mtoto
Mazingira mabovu ya kwao Kibu hayamhusu ila mazingira mabovu ya anapoishi Kibu yanamhusu Kibu

We usifanye kazi afu uanze laani watoto hawakujengei
 
Siyo wajibu wa mtoto kumjengea mzazi wake
Tumetofautiana mila na mitizamo na ninaheshimu hilo.
Mimi siwezi kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri huku wazazi walionilea kwa kujituma kwa jasho na damu kuhakikisha nimefika hapa nilipo, wakiishi kwenye mabanda ya nyasi...haiwezekani.
 
Warundi ndo zao.
 
Tumetofautiana mila na mitizamo na ninaheshimu hilo.
Mimi siwezi kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri huku wazazi walionilea kwa kujituma kwa jasho na damu kuhakikisha nimefika hapa nilipo, wakiishi kwenye mabanda ya nyasi...haiwezekani.
Hakika mkuu
 
Comment ya kipuuzi hii
Jibu la kianithi 👆 hata neno la mungu linasema mali na utajiri mtoto upata kwa wazazi wake , alisema mali na utajiri mzazi upata kwa watoto wao ..... mzazi kumfanikisha mtoto wake kimaisha ni wajibu bali mtoto kumfanikisha mzazi wake kimaisha ni fadhila tu ...sasa ajabu ni kuona watu wanaona kuto kutenda wajibu siyo kosa wala dhambi bali kuto kutenda fadhira ndiyo kosa na dhambi. Wazazi wanawaambia watoto wao kua hizi mali tumechuma mimi na mke au mume wangu nyinyi tafuteni vyenu ..tena wengine usema nikijua nakalibia kufa nauza nakula bata ...sasa cha kushangaza ni hao wazazi kulilia kujengewa nyumba na watoto wao ...wewe waambie tu njooni mchukue funguo nimewajengeeni nyumba wazazi wangu , utaona jinsi hao wazazi wapumbavu watakavyo kimbiza VIJAMBIO VYAO KUFUTA FUNGUO ....hivyo ni haki mtoto kuwajengea nyumba wazazi ila ni haramu mzazi kuwajengea nyumba watoto ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…