Je wazazi wako wanaweza kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri na kukulaza wewe kwenye mabanda ya kuku ? Kama ni hivyo basi wewe utawatendea mema na fadhira wazazi wako na kuwatendea maovu watoto wako .....ulitakiwa kusema wewe uwezi kulala kwenye nyumba nzuri na kuwaona watoto wako wanalala kwenye mabanda ya kuku na nyasi .....ukiwa unadaiwa deni la laki 1 na mtu baki kisha pia unaombwa sh laki 1 na mzazi wako ya birthday basi tambua ukimpa mzazi laki 1 na kuacha kulipa deni hapo wewe unakuwa umefanya FADHIRA DHIDI YA HAKI ...KULIPA DENI NI HAKI SIYO FADHIRA NA HAKI INATAKIWA KUITANGULIA FADHIRA KWA SABABU HAKI IPO JUU YA FADHIRA.Tumetofautiana mila na mitizamo na ninaheshimu hilo.
Mimi siwezi kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri huku wazazi walionilea kwa kujituma kwa jasho na damu kuhakikisha nimefika hapa nilipo, wakiishi kwenye mabanda ya nyasi...haiwezekani.
Sio kweli, huyo si alishapewa uraia muda mrefu sasa kinachowafanya waendelee kuishi hapo ni nini. Huyo asitetewe, milioni 240 kwa mwaka ndio wazazi wake bado wanaishi utafikiri wako medieval era . Bure kabisa huyo Kibu Dennis.Hapo ni kambi ya wakimbizi Nyarugusu. Nyumba ni za aina hiyo, hawaruhusu kujenga advanced zaidi ya hapo.
Jamaa ajui tofauti ya WAJIBU na FADHIRA.Siyo wajibu wa mtoto kumjengea mzazi wake
Sawa.Je wazazi wako wanaweza kujenga na kulala kwenye nyumba nzuri na kukulaza wewe kwenye mabanda ya kuku ? Kama ni hivyo basi wewe utawatendea mema na fadhira wazazi wako na kuwatendea maovu watoto wako .....ulitakiwa kusema wewe uwezi kulala kwenye nyumba nzuri na kuwaona watoto wako wanalala kwenye mabanda ya kuku na nyasi .....ukiwa unadaiwa deni la laki 1 na mtu baki kisha pia unaombwa sh laki 1 na mzazi wako ya birthday basi tambua ukimpa mzazi laki 1 na kuacha kulipa deni hapo wewe unakuwa umefanya FADHIRA DHIDI YA HAKI ...KULIPA DENI NI HAKI SIYO FADHIRA NA HAKI INATAKIWA KUITANGULIA FADHIRA KWA SABABU HAKI IPO JUU YA FADHIRA.
Nyinyi ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema π BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU πππSawa.
Uzuri ni kwamba wewe una wazazi wako na mtizamo wako, na mimi hivyo hivyo.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Wacha mihemko. Wazazi wa kibu bado wapo kambini NYARUGUSU kibondo. Kibu uraia alipewa kisiasa kila mtu anajua. Wacha kushupaza shingo.Sio kweli, huyo si alishapewa uraia muda mrefu sasa kinachowafanya waendelee kuishi hapo ni nini. Huyo asitetewe, milioni 240 kwa mwaka ndio wazazi wake bado wanaishi utafikiri wako medieval era . Bure kabisa huyo Kibu Dennis.
Ni kweli.Nyinyi ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema π BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU πππ
Akili kama hizi ndio mtaji wa CCMHIzo nyumba ni nzuri kiafya nikuambie wewe unajiona kuwa unaishi vizuri kisa umejenga hizo Ila fuatilia kiafya sio nzuri, kwanza mtu anavuta natural air from natural building materials.
Kama mtu akashiba nafsini mwake wewe ndiye unayeteseka rohoni kwako na ndio unaishi nyumbani ya milioni nyingi Ila bado.unateseka unatoa cortisol why una kitambi
Vipi na wewe ndo wale wapumbavu mnaosubiliwa kijengewa na watoto?Nyinyi ndiyo yale matoto mapumbavu yanayo sema π BORA UNITUKANIE BABA YANGU KULIKO MAMA YANGU πππ
Yaani wazazi wasiweze kujenga halafu mtoto ndiyo awajengee je huyo mtoto ajengewe na nani?Wazazi wa Kibu hawakuwa na uweZo mzuri kiuchumi
Kawaida yenu wanawake kufuatilia maisha ya watu. Ukienda kwenye msiba fuata msiba. Hayo mengine waachie wengine. Wanawake mnapenda sana umbeaStar wa Simba amepata msiba wa kifiwa na baba yake mzazi,
Binafsi Nampa pole Kwa msiba huo
Kibu ni star wa football TANZANIA amecheza mpira muda mrefu na sasa yupo Simba analipwa zaidi ya milion 20 Kwa mwezi Ana bonuses mbalimbali
Anacheza timu ya taifa
Ajabu mzazi wake anakufa marafiki wanafika aibu wazazi wake wanaishi kama digidigi
Kibu asisingizie Urai
Ashapewa Urais Kitambo yeye na familia yake
Ana sifa zote za raia wa TANZANIA ikiwa ni pamoja na kumiliki ardhi, kupiga kura n k
Hivi kama sio kutokujielewa Kibu anakosa hata milion 10 ili kumjengea Mzee wake nyumba huko Kigoma
Binafsi hili liwe somonkwa mastaa kusahau kwao na wazazi
Tukumbuke wazee wetu
View attachment 3501383View attachment 3501385