Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake
Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana goli 1 msimu mzima, goli lenyewe vs yanga walipopigwa 5-1
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine