Kibu Denis anakaza anapokutana na Yanga tu

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake

Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana goli 1 msimu mzima, goli lenyewe vs yanga walipopigwa 5-1

Huu ni utapeli kama utapeli mwingine
 
tatizo lake ni mbinafsi mno anataka awe anafunga yeye tu,kitu ambacho kinawakosesha sana magoli
 
5 tears in a row what it takes to hurt these guys
 
Eti alipootea vile vigoli vyake msimu uliopita, wakambatiza jina na kumuita Kibu Mkandaji! Mashabiki wa simba bhana! 😁
 
Back
Top Bottom