Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri.

Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi.

Kibu Denis ana jinamizi au pepo la ukimbizi,akili haiko sawa ndio maana hata uwanjani utulivu ni 0,anatumia nguvu nyingi akili iko ulaya.

Atafutiwe mwanasaikolojia au simba wamkomoe akae benchi mpaka mkataba uishe akili zimkae sawa,wenge limtoke
Na wewe unatoka Kigoma? Maana utulivu ni O kama Kibu.
 
Gen z wa Kenya wanaandama kuitetea nchi yao Genz wa Tanzania wanajadili ushirikina wa simba na yanga
Wewe ni Gen z wa Tanzania ama Kenya?
Kama ni wa Tanzania, umeshachukua hatua gani mpaka sasa kuitetea nchi yako?

Kama ni bado, unamngoja nani aanzishe kuitetea Tanzania?
 
Hatua nilichukua ni kuwaelimisha kwanza Mandondocha kama wewe ya simba na yangu pamoja na udaku mwingine kupitia jf wafualie mambo ya msingi ya kitaifa na muachane na udaku wa kina mwijaku
 
Hizo pesa bora angejenga nyumba. Ukowa na kipaji hauhitaji kutumia nguvu nyingi alafu alivyo mshamba anahangaika mwenyewe badala kutumia mawakala😀 mbaya zaidi alivyo mshamba kasaini kabisa na timu alafu anatarajia kuna timu ingetoa mapesa kuuvunja😀😀😀
 
Hatua nilichukua ni kuwaelimisha kwanza Mandondocha kama wewe ya simba na yangu pamoja na udaku mwingine kupitia jf wafualie mambo ya msingi ya kitaifa na muachane na udaku wa kina mwijaku
Lakini huyo Mwijaku muko nae huko kwenye sihasa (Tanzania, Africa bado hakuna siasa safi) huku kwenye michezo hutuko nae.
Hiyo hatua uliyo chukua ya kuelimisha mandondocha kama mimi (wenda hata baba yako ni mpenzi wamichezo pia) haisaidii chochote, nakushauri jilipue na mafuta ya taa kama yule mwenzio wa Tunisia.
 
Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri.

Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi.

Kibu Denis ana jinamizi au pepo la ukimbizi,akili haiko sawa ndio maana hata uwanjani utulivu ni 0,anatumia nguvu nyingi akili iko ulaya.

Atafutiwe mwanasaikolojia au simba wamkomoe akae benchi mpaka mkataba uishe akili zimkae sawa,wenge limtoke
Nakuhakikishia kwe derby atacheza Simba hawana timu ya kumuwela benchi kibu
 
Lakini huyo Mwijaku muko nae huko kwenye sihasa (Tanzania, Africa bado hakuna siasa safi) huku kwenye michezo hutuko nae.
Hiyo hatua uliyo chukua ya kuelimisha mandondocha kama mimi (wenda hata baba yako ni mpenzi wamichezo pia) haisaidii chochote, nakushauri jilipue na mafuta ya taa kama yule mwenzio wa Tunisia.
Kwenye michezo mko naye ni mhamasishaji rasmi wa simba
 
Kibu Denga, Lameck Lawi ni pigo kwa makolo.
Wote wataomba radhi, na hawawezi kucheza bila kuifuata Simba. Waulize au fuatilia kauli za sasa za viongozi wa Coastal Union, wamekuwa wadogo hadi wanasema Simba na Coastla Union wana mahusiano mazuri, wakati wiki chache zilizopita walikuwa wanapandisha mabega
 
Nyie wajinga hizo timu zenu za urithi hamchoki kuziongelea asubuhi mpaka jioni na mlivyo na maisha magumu mmechoka mmechakaa
 
Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri.

Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi.

Kibu Denis ana jinamizi au pepo la ukimbizi,akili haiko sawa ndio maana hata uwanjani utulivu ni 0,anatumia nguvu nyingi akili iko ulaya.

Atafutiwe mwanasaikolojia au simba wamkomoe akae benchi mpaka mkataba uishe akili zimkae sawa,wenge limtoke
Usitweze utu wa mtu kisa mkimbizi, Mungu akusaidie uelewe wakimbizi nao ni watanzania
 
Uraia ametafutiwa na Simba alitakiwa kuwa na moyo wa shukrani kwa kufuata taratibu sio kuleta uhuni
 
Back
Top Bottom