LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400.
Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake.
Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki yake mwenyewe.
Ni ngumu sana kwa mchezaji wa mpira wa miguu kupewa milioni 400 na kukimbia wakati mpira ndio kazi yake. Atacheza vipi mpira kwa staili hiyo katika dunia hii ya utandawazi.
Mnamuona Kibu hana akili? Yani asaini milioni 400 halafu akimbie?
Kama una amini hiyo story basi hata nikikwambia nenda kamwambie baba ako kwamba Mimi Likud nimesema kwamba kesho atakufa na kwenye mazishi yake itanyesha mvua ya mawe basi utaamini kweli.
So Kibu hajapewa milioni 400. Simba hawana milioni 400 ya kumlipa mchezaji.
Kibu alikuwa anawadai Simba deni la nyuma ambalo ndio walimpa hiyo milioni 50.
So baada ya jamaa kuchukua milioni 50 yake akayeya.