Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

Ukishasaini tu huchezi kwingine, iwe umelipwa au hujalipwa. FIFA ndio wanaoiadhibu timu inayoshindwa kuwalipa wachezaji au makocha kwa kuifungia usajili mpya. Kibu na Lameck Lawi hawawezi kucheza popote bila kurudi kwa Simba
Probably hakusaini pengine alitoa ahadi angesaini baada ya kurejea kutoka Marekani, mbele ya wakala wake na wanasheria wake... Wangeshaweka picha Kibu akiwa akiwa ana saini.
 
Hakuna timu isiyo ya mtaani hata Simba ni timu kutoka Mtaa wa Msimbazi
Mdanganya mwenzio.na mpotosho.
Mwache azunguke LAZMA ATARUDI SIMBA.iwe kucheza au kuomba kuondoka.kariri haya maneno .
 
Mdanganya mwenzio.na mpotosho.
Mwache azunguke LAZMA ATARUDI SIMBA.iwe kucheza au kuomba kuondoka.kariri haya maneno .
Arudi Simba vipi wakati hakusaini. Au mnataka kumfanyia kama mlivyo mfanyia Mwameja?
 
Jamani eeh mimi sipendi ugomvi.

Simba tafuteni viongozi wenu na ushahidi na Kibu na meneja wako mje ofisini kwangu niwasikilize.
 
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400.

Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake.

Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki yake mwenyewe.

Ni ngumu sana kwa mchezaji wa mpira wa miguu kupewa milioni 400 na kukimbia wakati mpira ndio kazi yake. Atacheza vipi mpira kwa staili hiyo katika dunia hii ya utandawazi.

Mnamuona Kibu hana akili? Yani asaini milioni 400 halafu akimbie?

Kama una amini hiyo story basi hata nikikwambia nenda kamwambie baba ako kwamba Mimi Likud nimesema kwamba kesho atakufa na kwenye mazishi yake itanyesha mvua ya mawe basi utaamini kweli.

So Kibu hajapewa milioni 400. Simba hawana milioni 400 ya kumlipa mchezaji.

Kibu alikuwa anawadai Simba deni la nyuma ambalo ndio walimpa hiyo milioni 50.

So baada ya jamaa kuchukua milioni 50 yake akayeya.
Kwamba wewe unajua zaidi kuliko Msimamizi wake sio?
 
Mimi ni simba haswaa
Ila hizi team zetu za kariakoo sio za kuamini kabisaaa

Nikikumbuka Extension ya Kibu ilivotangazwa bila hata interview wala picha napata wasiwasi
 
Za ndani kabisa. Kibu hakupewa milioni 400.

Kibu alipewa milioni hamsini tu na hiyo ni sehemu ya deni lake la nyuma ambalo alikuwa anawadai Simba hawakummaliziaga signing fee yake.

Kwa hiyo Kibu alicho kifanya ni kile wanacho kiita wanasheria " Bona fide Claim of Right". Amejilipa haki yake mwenyewe.

Ni ngumu sana kwa mchezaji wa mpira wa miguu kupewa milioni 400 na kukimbia wakati mpira ndio kazi yake. Atacheza vipi mpira kwa staili hiyo katika dunia hii ya utandawazi.

Mnamuona Kibu hana akili? Yani asaini milioni 400 halafu akimbie?

Kama una amini hiyo story basi hata nikikwambia nenda kamwambie baba ako kwamba Mimi Likud nimesema kwamba kesho atakufa na kwenye mazishi yake itanyesha mvua ya mawe basi utaamini kweli.

So Kibu hajapewa milioni 400. Simba hawana milioni 400 ya kumlipa mchezaji.

Kibu alikuwa anawadai Simba deni la nyuma ambalo ndio walimpa hiyo milioni 50.

So baada ya jamaa kuchukua milioni 50 yake akayeya.
Likud, mwaka huu nani anabeba nyota ya Yanga
 
Tatizo unaendekeza umbea kuliko uhalisia.

Meneja wa Kibu jana alizungumza hadharani kabisa kwamba Kibu haidai Simba chochote alishapewa hela zote za usajili na kwamba yeye kama Meneja wa Kibu anashangazwa na kitendo alichofanya Kibu.

Meneja alikiri kulipwa hela yake pia ila tu alikuwa bado hajamaliziwa hela ya usajili wa Mohamed Hussein pamoja na Hussein Kazi.

Sasa wewe na Meneja wa Kibu unataka tukuamini wewe ambaye hujawahi hata kupiga picha na Kibu?
Achana na huyo Mauzinde lopolopo.
 
Back
Top Bottom