Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

Kwa magumashi ya Timu za k/koo inawezekana hili hata kwa Lawi waliambiwa waweke mzigo wakapitisha tarehe baadae wamepata fununu ndo wakaweka mali. Pengine kibu hela imeingizwa kwake kinyume na makubaliano.
 
Ukishasaini tu huchezi kwingine, iwe umelipwa au hujalipwa. FIFA ndio wanaoiadhibu timu inayoshindwa kuwalipa wachezaji au makocha kwa kuifungia usajili mpya. Kibu na Lameck Lawi hawawezi kucheza popote bila kurudi kwa Simba
Probably hakusaini pengine alitoa ahadi angesaini baada ya kurejea kutoka Marekani, mbele ya wakala wake na wanasheria wake... Wangeshaweka picha Kibu akiwa akiwa ana saini.
 
Hakuna timu isiyo ya mtaani hata Simba ni timu kutoka Mtaa wa Msimbazi
Mdanganya mwenzio.na mpotosho.
Mwache azunguke LAZMA ATARUDI SIMBA.iwe kucheza au kuomba kuondoka.kariri haya maneno .
 
Mdanganya mwenzio.na mpotosho.
Mwache azunguke LAZMA ATARUDI SIMBA.iwe kucheza au kuomba kuondoka.kariri haya maneno .
Arudi Simba vipi wakati hakusaini. Au mnataka kumfanyia kama mlivyo mfanyia Mwameja?
 
Jamani eeh mimi sipendi ugomvi.

Simba tafuteni viongozi wenu na ushahidi na Kibu na meneja wako mje ofisini kwangu niwasikilize.
 
Kwamba wewe unajua zaidi kuliko Msimamizi wake sio?
 
Mimi ni simba haswaa
Ila hizi team zetu za kariakoo sio za kuamini kabisaaa

Nikikumbuka Extension ya Kibu ilivotangazwa bila hata interview wala picha napata wasiwasi
 
Likud, mwaka huu nani anabeba nyota ya Yanga
 
Achana na huyo Mauzinde lopolopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…