Kibu ndiyo victim na siyo Simba SC, hakupewa milioni 400

Probably hakusaini pengine alitoa ahadi angesaini baada ya kurejea kutoka Marekani, mbele ya wakala wake na wanasheria wake... Wangeshaweka picha Kibu akiwa akiwa ana saini.
Mambo ya picha ni kutojiamini, na wala sio ushahidi. Ushahidi mzuri ni signature na fingerprint, hapo hachomoki mtu. Msimamizi wake amesema Kibu amesaini Simba hadi 2026 na haidai kitu Simba, hata naye anashangaa.
 
Mimi ni simba haswaa
Ila hizi team zetu za kariakoo sio za kuamini kabisaaa

Nikikumbuka Extension ya Kibu ilivotangazwa bila hata interview wala picha napata wasiwasi
Magoma una jicho la mwewe.
 
Kibu kupewa mil.409 siyo sahihi na huo hata Mimi nakubali ni uongo. Lakini Bonafide claim of right ina masharti yake siyo hivi.
 
Kibu kupewa mil.409 siyo sahihi na huo hata Mimi nakubali ni uongo. Lakini Bonafide claim of right ina masharti yake siyo hivi.
Masharti yake ni yapi?
 
Mambo ya picha ni kutojiamini, na wala sio ushahidi. Ushahidi mzuri ni signature na fingerprint, hapo hachomoki mtu. Msimamizi wake amesema Kibu amesaini Simba hadi 2026 na haidai kitu Simba, hata naye anashangaa.
Hashangai ila anaigiza kushangaa.
 
Arudi Simba vipi wakati hakusaini. Au mnataka kumfanyia kama mlivyo mfanyia Mwameja?
Tatizo utopolo hamjajipanga vizuri na drama. Wengine mnasema hakupewa hela, wengine kwenye uzi mwingine wanasema amerudisha hela. Sasa atarudishaje hela ambazo hakupewa? 😁😁😁
 
Kibu anataka pesa yake acheze mpira.... Kinachosikitisha washabiki wa SANDA FC wanapelekwa kipuuzi....mpenzi pesa yake acheze mpira.
. Acheni janjajanja!!.
 
Mtu wa karibu wa Kibu hawezi kudanganya, kwa ukaribu mlionao hauwezi kutudanganya.
 
Siasa.
Alisema hivyo kwa maelekezo maalumu.
zakuambiwa ....
Tuseme wewe ni mke wa Kibu? Inawezekana ni mwandani wake wa kike, maana si kwa kuleta ujuaji kumzidi Meneja wa Kibu.

Haya Mrs.Kibu tuambie na hili, gari anarudisha lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…