Kiburi cha Polepole kimefika mwisho

Slow slow anaweweseka kwisha kabisa
 
Vipi mnataka kumpiga risasi 36 kama mlivyofanya kwa Tundu Lissu?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kuna tetesi kwamba alikuwa anapokea milioni 6 ili kupitisha majina majina ya wagombea ubunge kupitia CCM.
 
Kwanini aombewe?

Halafu unaweza kuta yeye hata hauhitaji huo ubunge wala hayuko ki-chama vileee ila wewe unastresika kumtafutia maombi hapa.

Wewe unafikiri Polepole mtoto au kapungukiwa ufahamu?
Atulie tuli,naye ni mmoja wa wanasiasa wako kama kinyonga
Kila zama na kitabu chake

Ova
 
Sijaona kosa lake..., Ingawa sikubaliana na vyote anavyoongea ila sioni kosa la kuongea kwake

“I might disagree with what you say, but I will defend to the death your right to say it”
 
Hiyo paragraph ya pili inahitaji PhD mpaka uelewe kilichoandikwa

Anyway but me namkubali Polepole anaongea ukweli na ana element za umagu

Ingeweza kusema ana element za Chatto ungeeleweka tu
 
Kwani si fisadi amejilimbikizia Mali au siyo tena bwashee? a

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…