leonaldo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 2,583 Reaction score 3,182 Sep 27, 2020 #1 Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
hayaland JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 712 Reaction score 399 Sep 27, 2020 #2 Sio kauli nzuri hata kidogo maana unaowanyima maendeleo ni walipa kodi.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Sep 27, 2020 #3 leonaldo said: Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu. Click to expand... Usitutishe maendeleo yatakuja kwa mujibu,was taratibu na Sheri zilizopo na huna ruhusa ya kufanya ubaguzi.Sheria zikifanya kazi ipasavyo ,yafaa kukushitaki kwa vitisho na ubaguzi.
leonaldo said: Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu. Click to expand... Usitutishe maendeleo yatakuja kwa mujibu,was taratibu na Sheri zilizopo na huna ruhusa ya kufanya ubaguzi.Sheria zikifanya kazi ipasavyo ,yafaa kukushitaki kwa vitisho na ubaguzi.
ikipendaroho JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 3,903 Reaction score 3,856 Sep 27, 2020 #4 Uwezo wa kuleta maendeleo hawana wanatafuta sababu tu. Hayo majimbo yanayoongozwa na CCM ndio masikini hata shetani hapendi!
Uwezo wa kuleta maendeleo hawana wanatafuta sababu tu. Hayo majimbo yanayoongozwa na CCM ndio masikini hata shetani hapendi!