Kiburi hiki lazima kiondoke, kodi tunalipa wote

Kiburi hiki lazima kiondoke, kodi tunalipa wote

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
3,182

Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.
 
Sio kauli nzuri hata kidogo maana unaowanyima maendeleo ni walipa kodi.
 
Chakufanya tunacho mwaka huu,kiburi hiki lazima kikomeshwe maamuzi tunayo mkononi mwetu ni kuamua tu, watuombe msamaha kwa ujinga huu.

Usitutishe maendeleo yatakuja kwa mujibu,was taratibu na Sheri zilizopo na huna ruhusa ya kufanya ubaguzi.Sheria zikifanya kazi ipasavyo ,yafaa kukushitaki kwa vitisho na ubaguzi.
 
Uwezo wa kuleta maendeleo hawana wanatafuta sababu tu. Hayo majimbo yanayoongozwa na CCM ndio masikini hata shetani hapendi!
 
Back
Top Bottom