Kibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani..
Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini kama ni mtu ambae hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu.
Jamaa anajua kukaba anajua kushambulia na anapiga pasi za uhakika sana.
Kudos mshambuliaji wa zamani kocha ameamua kukuamini nawe fanya namna urudishe ule ubora wako wa kipindi cha Nabi.