Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Kwani matokeo ya Mazembe na Yanga yalikuwaje huko kwao Lubumbashi? Tena Yanga ambayo Mjerumani kaichukua siku chache na kacheza mechi chache tu. Kwavile nyie ni wateja wa Mazembe usidhani na Yanga ni mteja wa Mazembe vilevileKwahiyo mmeimarika Mazembe waje?