Hakika kijana bado ni mzuri sana naona huyu kocha anamuamini na atafanya kijana arudishe kiwango chake..Huyu jamaa anafanya vitu vingi kwa usahihi, Gamondi alitaka kumuua kiwango chake
Yule Gamondi akishamkariri mchezaji, basi ni huyo huyo! Hata kama anaumwa, au ana fatique! Atachezeshwa tu hivyo hivyo!! Wachezaji wengi waliachwa nje bila ya sababu za msingi, na hivyo kupelekea timu kukosa balance.Huyu jamaa anafanya vitu vingi kwa usahihi, Gamondi alitaka kumuua kiwango chake
Kwa lipi labda?Ni vigeugeu sana nyie
Kwanini unawasukumia Mazembe? njooni nyie Rage FCKwahiyo mmeimarika Mazembe waje?
Kibwana Yuko vizuri gamond alikuwa na chuki zake binafsi alikuwa anaona ni Bora amchezeshe nkane kuliko kibwana mwenye namba yake,,kiufupi gamond alikuwa anaelekea kubayaKibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani..
Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini kama ni mtu ambae hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu.
Jamaa anajua kukaba anajua kushambulia na anapiga pasi za uhakika sana.
Kudos mshambuliaji wa zamani kocha ameamua kukuamini nawe fanya namna urudishe ule ubora wako wa kipindi cha Nabi.
Dogo yuko njema sana, kacheza mbavu zote mechi 2 vizuri sana.Kibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani..
Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini kama ni mtu ambae hajapata nafasi ya kucheza kwa muda mrefu.
Jamaa anajua kukaba anajua kushambulia na anapiga pasi za uhakika sana.
Kudos mshambuliaji wa zamani kocha ameamua kukuamini nawe fanya namna urudishe ule ubora wako wa kipindi cha Nabi.
Gamondi alimwambia kibwana hatampanga Hadi yeye atakapo ondoka.Huyu jamaa anafanya vitu vingi kwa usahihi, Gamondi alitaka kumuua kiwango chake
Kocha mjinga kisirani.Gamondi alimwambia kibwana hatampanga Hadi yeye atakapo ondoka.
Mkuu, wakikujibu nitagKwahiyo mmeimarika Mazembe waje?
Dogo yuko njema sana, kacheza mbavu zote mechi 2 vizuri sana.
Gamondi alimwambia kibwana hatampanga Hadi yeye atakapo ondoka.
Ukileta ubishi na dharau za kiluguru lazima upigwe piniAlitaka kuua kipaji cha kijana kabisa Gamondi..
😂😂Mkuu, wakikujibu nitag
Bila shaka wakinijibu tuu wew na mazembe chapMkuu, wakikujibu nitag
Watamkataa tu huyo Kibwana. Hao kina Kibabage na Nkane waliwasifia leo wanawakana mara 3.Bila shaka wakinijibu tuu wew na mazembe chap