Kibwana Shomari bado ni beki mzuri na mbishi hasa

Kwa hizi timu za Prison na wale Mashujaa?...
 
Watamkataa tu huyo Kibwana. Hao kina Kibabage na Nkane waliwasifia leo wanawakana mara 3.

Wachezaji wa uto wana roho za kukataliwa na mashabiki wao wenyewe. Walipeleke hili katika maombi pia.
Wanashinda kwa Prison wanasema team imeimarika.

Nawauliza kocha kashajua kufanya sub
 
Hamna mchezaji pale, wewe subiri siku akutane na winga teleza ndio utakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…