Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali.

a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii?

b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya mapenzi? Mfano kama ni kichaa mwanaume, je, dhakar yake ikipachikwa ndani ya tupu ya mwanamke atapata akili ya kuanza kupampu?
 
Mambo mengine kupata jibu inaweza kuwa ngumu lakini hebu fanya yafuatayo...

Chukua sinia 5 zenye wali kuku na nyingine 5 zenye ugali na mchicha kisha ziweke mbele ya vichaa 10...

Ukiona wala hawajali.. mtu anajichukulia tu sinia lake lenye ugali mchicha huku la wali kuku likiwa karibu yake, basi fahamu "mnh" lakini ukikuta wanazigombea sinia za wali kuku, na kuziacha zile za ugali mchicha... my friend, usiwatafutie lawama wakati unafahamu fika hata mahakama haiwezi kuwahukumu!!!
 
Kule kwenye uzi wa kulana kimasihara kuna mwamba alijipigia kichaa then yule kichaa akaanza kumuelewa jamaa na kumfuata.
 
Kuna kichaa mtaani tulimpelekea moto mpaka akapigwa sindano ya kuzuia mimba,kichaa alikuwa na tako na guu havai chupi,sema aliniambukiza gono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…