sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali.
a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii?
b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya mapenzi? Mfano kama ni kichaa mwanaume, je, dhakar yake ikipachikwa ndani ya tupu ya mwanamke atapata akili ya kuanza kupampu?