Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

Kichaa Trump kajitoa mashirika ya UN, akija mwingine say kutoka Democrats, anayarudisha!

Waafrika wengi sana wamepoteza kazi walizokuwa wanalipwa millions kwa mwezi, mshikaji wangu alikuwa anamshabikia sana Trump, alikuwa USAID mshahara zaidi ya million 8 kwa mwezi, kazi kwisha kwa ajiri ya sera za Trump 😂,hapokei simu na anasema watu wana roho mbaya sana hii dunia 😂😂
 
This man is unfit for that job. America imeingia mkenge. Mchizi ameharibu mifumo mingi sana ndani ya muda mfupi. Wakitaka kuirejesha hiyo mifumo, tawala zijazo itabidi zifanye kazi ya ziada!
Rais atakayefuata baada ya Trump ana kibarua kigumu, huenda hata akakuta uhusiano wa Marekani na washirika wake wa muda mrefu kama Ulaya magharibi,Japan, Korea kusini umeharibika kabisa na Kila mmoja kashika hamsini zake.

Kichuguu Kiranga
 
democratic wachumba tu na ndumilakuwili sana ,trump kafanya kweli

Jiulize vifurushi vyetu vya ukimwi vilikuwa vinaenda wapi ,hasa cha chakula na nauli
 
Back
Top Bottom