Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Rais atakayefuata baada ya Trump ana kibarua kigumu, huenda hata akakuta uhusiano wa Marekani na washirika wake wa muda mrefu kama Ulaya magharibi,Japan, Korea kusini umeharibika kabisa na Kila mmoja kashika hamsini zake.This man is unfit for that job. America imeingia mkenge. Mchizi ameharibu mifumo mingi sana ndani ya muda mfupi. Wakitaka kuirejesha hiyo mifumo, tawala zijazo itabidi zifanye kazi ya ziada!
Wakambo ndio hamna akiliTrump hana akili.
Shauri wewe ..Si ushauri Tanzania ichukue hiyo nafasi ya kutumia fedha za walipakodi wao kusaidia hayo mashirika
Mi si kobazi lakini Ayatollah ni mtu wangu sana sababu yeye ndiye kanihakikishaia mabikra 72 walioko pepeoni.Napenda sana anavyowapelekea moto makobaz, yeye na Netanyahu π
Kwema mkuu?Wakambo ndio hamna akili
Mmewaachia wanyang'anyi rasilimali
Kazi kutegemea kodi za watu wengine
Bandari anaachiwa waarabu uko kimya kama sio wewe
MastaKiraka una lipi la kusema
Kichaa anajisifia kuua na anachekewa vizuri kabisaHakuna kichaa anayeweza kuwa rais wa USA, kichaa anaweza kuwa kiongozi huko tanzagiza na sio USA
Walikua wananunulia mandinga na kuporomosha mahekaru..democratic wachumba tu na ndumilakuwili sana ,trump kafanya kweli
Jiulize vifurushi vyetu vya ukimwi vilikuwa vinaenda wapi ,hasa cha chakula na nauli
Anayefuata ni Marco Rubio au JD Vence. Taabu ipo pale pale.Let us wait and see baada ya miaka 3 iliyobaki ya Trump!
Na anapigiwa makofi kumpongeza πKichaa anajisifia kuua na anachekewa vizuri kabisa
Bikra 72 zipo, n ww kufa tuu sip lazima awepo AyatollahMi si kobazi lakini Ayatollah ni mtu wangu sana sababu yeye ndiye kanihakikishaia mabikra 72 walioko pepeoni.
Ndiyo maana namtetea.
Yaye aliahidi kuniongezea mabikra wengine wa ziada.Bikra 72 zipo, n ww kufa tuu sip lazima awepo Ayatollah
Kazi ipo πYaye aliahidi kuniongezea mabikra wengine wa ziada.
Yuko sawa, hiyo UN ina faida gani?MastaKiraka una lipi la kusema
Wewe si ndo unalilia Kodi za wamerekani ziwape misaadaShauri wewe ..