BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
UnanikoseaViongozi wa YANGA kulifuatilia hili itakuwa wamechizika nao. Hivi utafuatilia mangapi? YANGA ni club kubwa haiwezi kufuatilia kila Ujinga mnaoeneza ngada FC. Haipo hiyo
Rudi usome tena labda kama kiswahili ni shida kwako.
Nani ngada fc? Umenikosea sana mimi si shabiki wa Simba .