Rubbish!! Mangungu anaongoza vilaza wengi sana na ndio maana Simba imeanza kuachwa mdogo mdogo na yanga kwenye mambo mengi kutokana na undezi wa viongozi wao pia utaahira wa wanachama na mashabiki wao, Mtu yeyote ambae awezi kutumia mafanikio ya mwenzake Kama somo la kufanikiwa na akawa na kichwa ngumu kukubali ukweli uyo awezi fanikiwa maisha yake yote!
Yanga kafanikiwa kutokana na uwekezaji alioufanya akuna asiyejua yanga ilikotokea, kusajili wachezaji Bora na kuwa na viongozi imara wenye kiu ya mafanikio ndio msingi wa yanga kwenye mafanikio WALIYONAYO kwa sasa, uwezi kusajili kina Onana alafu utegemee wakupe matokeo sawa na waliomsajili pacome ni uongo!
Matokeo yake ni chuki Kama hizi unazoleta hapa, izo sindano Ina maana yanga kaanza kuzitumia tokea mwaka Jana alipofika fainali ya kombe la shirikisho? Wao caf awajui isipokuwa wewe ndio unajua hizo mambo kuwazidi wao?
Na msipobadilika kwa akili hizi naiona yanga ikiendelea kutawala soka la ndani na nje kwa miaka mingi ijayo maana mawazo yenu Kama ndio Aya na viongozi wenu amtokaa msonge mbele Bali kupiga hatua 10 kurudi nyuma!