Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Ikatokea Yanga kafika ½ fainali na wao safari ikaishia hapo lazima 5imba migogoro iibuke.
Ila ukiiwazia vizuri hizi mm nimefanya/fika huku ni nzuri sn kwakua zinasaidia timu pimzani kuondoa huo ubezo mm naamini hata petro ya Angola atafika mbali sn Kwa mpira wanaocheza
 
Hard work pays, Yanga wanastahili kabisa kufika hata final! Ndio uwezo wanao kuanzia kwa uongozi mpaka kwa wachezaji, Unaona kabisa wanachokitafuta ni mafanikio ya Timu nzima, Yanga hakuna blah blah nawapongeza sana, boli linapigwa kweli mpaka mpinzani unaenjoy. Yule Pacome mpira unavyomtii yaan dah! What a player! Chukueni maua yenu watani.
 
Kabla sijadhibitisha nilichokiandika hapa! Njoo nikukague kama una marinda! Maana naona unataka kuleta ligi inawezekana huna linda! Watu wasio na marinda ndio uwa hawana aibu kabisa kubishana na uhalisia.

Mimi niliona mabomba ya sindano yaliyokwisha tumika na sio bomba moja ni mabomba mengi tu! Nikajaribu kudadisi! muhudumu akasema amepewa na mtu wa yanga akachome! Nikaunganisha dot nikapata jibu! Wewe unaleta ligi za kijinga hapa!

Suala la Simba kudaiwa kupuliza dawa kwenye dressing room lililetwa na viongozi wa yanga,hasa yule White anaeoa kila mwezi mchanga! Na yule mtumishi wa gsm ambae amepewa cheo hapo yanga anaitwa rais! Sijui toka lini rais akawa kibarua wa mwarabu
Yeye alienda mpaka kuwapokea As vita!! waliokuja kucheza na Simba hapo taifa akawadanganya na kusambaza uzushi kuwa Simba inapuliza dawa!

Kama haitoshi akawapokea kaizer Chief ya South africa akawadanganya pia,akutosheka akawapokea RS berkane akawapigia viongozi na wachezaji wa berkane simu akiwatukana viongozi na wachezaji wa Simba! Uzushi wote uliletwa na hao wawili white na uyo mtumishi wa mwarabu ambae ni rais wa kandambili.
Unamaumivu makubwa sana aisee kumbe.
 
Acha basi, ya kweli haya mkuu?😂
Jamaa hajui anachoongea na CAF wanapima mkojo maana chembe chembe za dawa zinapatikana kirahisi huko kuliko kwenye damu na muda mwingine ni kama Juice tu huyu asiejua mpira bado yupo kwenye zama za kale eti akae Hotel moja na team anajua yupo kijijini hapa atamdanganya kila mtu hao jamaa wapo radhi chumba kilipiwe na asilale mtu..kulinda usalama wa wachezaji.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
OK.
 
FB_IMG_17088589497483174.jpg
 
Yanga watakuja kuwa kama mamelodi ukanda wa east Africa, ✅ viongoz, management, scouting ya wachezaji, malengo halisi, vyote hivyo pia hamasa vitachangia. Simba ni timu yangu but kusema kweli msimu huu hatufik mbali. Limebak tu iina. Period 😏
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Duh!....mbona umeandika mambo magumu hivi ?
 
Nadhani kwa heshma viongozi wa Yanga wapite hapa jukwaani na wathibitishe tuhuma hii kama ni kweli au laa!

Kama ni tuhuma basi jf isaidie kupatikana kwa mtu huyu..
Viongozi wa YANGA kulifuatilia hili itakuwa wamechizika nao. Hivi utafuatilia mangapi? YANGA ni club kubwa haiwezi kufuatilia kila Ujinga mnaoeneza ngada FC. Haipo hiyo
 
Itengue hii kauli, maneno ya mdomoni bila ushahidi ni majanga yatakayokufika. Mdomo utakuumiza, alafu ulivyo lindezi bado unausisitiza msimamo wako. Kama bado hayajakukuta, waulizie wenzio waliowahi kukamatwa kwa njia ya vyombo vya mawasiliano. Sio kila mtu ataichukulia hii kauli kishkaji tu. Kwanza kutoa hii kauli ni kuichafua taasisi nzima ya tff, maana yanga ndio bingwa wao watz ambaye kwa kauli yako, hakuupata huu ubingwa kwa njia halal. Jiangalie wewe. Kutosoma sio ujinga, ujinga ni kutoka nje ya maadili, unakosolewa alafu bado unadinda. Yangu macho tu
We nae acha porojo zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom