Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Pumbavu mkubwa wewe. Umeandika ujinga wa hali ya juu. Mnahangika na kujidharirisha humu JF kwa upuuzi na upumbavu wenu.
Naona umedemka! Shauli yako!! Mimi sikai karibu na washenzi uwa nawavunja migongo kwa kuwainamisha! Wewe jipendekeze tu!
 
porojo za vijiweni hizi

badala ya kujifunza wanafanyaje umatafuta kichaka cha kujificha
Yaani Simba ameingia robo fainali champion's league mara nne! Amecheza robo fainali AFL mara moja! Aje afundishwe na timu ambayo imeingia robo fainali baada ya miaka 25? Kweli uko yanga wenye akili ni wawili tu
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezo
 
Dawa za kusisimua misuli ni vidonge tu na wala hawatumii mabomba ya sindano CAF wana jukumu la kupima wachezaji wote na pia wakiwa na mashaka na mchezaji yeyote anaitwa na kwenda kupimwa kwenye maabara yao..unaona wachezaji wa Yanga wamechoka mpaka kupiga V pass wanashindwa mpaka kutolewa unazungumzia dawa inaonekana hakuna kitu unajua kuhusu mpira na pia hizi Timu hazikai na wageni tofauti Hotel moja hata iweje ndio maana wana book mapema kwa hilo utakua umedanganya kawatafute wengine sio hapa kwa watu wa Mpira..
Huyo unatafuta sifa tu za kijinga kwa Jambo ambalo amelitunga tu mwenyewe ili kujaribu kupata sifa. Hajui madhara yake kwa hiyo lugha yake. Na hajui chochote kuhusu alichokiongea,ila anasikia tu.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Mbumbumbu akiwa kwenye next level ya utaahira

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Simba ameingia robo fainali champion's league mara nne! Amecheza robo fainali AFL mara moja! Aje afundishwe na timu ambayo imeingia robo fainali baada ya miaka 25? Kweli uko yanga wenye akili ni wawili tu
Kwahiyo Chief Simba kafika mara zote hizo nao huwa wanadunga sindano?
 
Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezo
Nadhani kwa heshma viongozi wa Yanga wapite hapa jukwaani na wathibitishe tuhuma hii kama ni kweli au laa!

Kama ni tuhuma basi jf isaidie kupatikana kwa mtu huyu..
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Pole sana unateseka ukiwa wapi? Hakika Makolo mnatuchanganya. Mara Yanga inapata ushindi wa tiGo pesa,mara marefa,mara Majini sasa madawa ya kuongeza Nguvu. Kama ni kweli madawa au majuni au tiGo pesa kipigo cha goli[emoji870] mbona mmemtimua Robertinho.
 
Kuna watu duniani mnatafuta sifa za kuwaletea matatizo. Usioni umejificha sana humu. Utapatikana tu. Hapa unatafuta sifa za kipuuzi,Japo kichwani uko empty lakini utetengenezwa hivyo hivyo unyooshe maelezo
Ona hii kenge! Wewe malaya njoo unipe tendo!!
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Ujue mnatuchanganya sasa
Sasa tushike lipi?

Uchawi?
Majini?
Bahasha?
Dawa za kusisimua misuli?

Semeni moja na kuweni na msimamo nalo
FB_IMG_1708608674324.jpg
 
Back
Top Bottom