Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Rubbish!! Mangungu anaongoza vilaza wengi sana na ndio maana Simba imeanza kuachwa mdogo mdogo na yanga kwenye mambo mengi kutokana na undezi wa viongozi wao pia utaahira wa wanachama na mashabiki wao, Mtu yeyote ambae awezi kutumia mafanikio ya mwenzake Kama somo la kufanikiwa na akawa na kichwa ngumu kukubali ukweli uyo awezi fanikiwa maisha yake yote!
Yanga kafanikiwa kutokana na uwekezaji alioufanya akuna asiyejua yanga ilikotokea, kusajili wachezaji Bora na kuwa na viongozi imara wenye kiu ya mafanikio ndio msingi wa yanga kwenye mafanikio WALIYONAYO kwa sasa, uwezi kusajili kina Onana alafu utegemee wakupe matokeo sawa na waliomsajili pacome ni uongo!
Matokeo yake ni chuki Kama hizi unazoleta hapa, izo sindano Ina maana yanga kaanza kuzitumia tokea mwaka Jana alipofika fainali ya kombe la shirikisho? Wao caf awajui isipokuwa wewe ndio unajua hizo mambo kuwazidi wao?
Na msipobadilika kwa akili hizi naiona yanga ikiendelea kutawala soka la ndani na nje kwa miaka mingi ijayo maana mawazo yenu Kama ndio Aya na viongozi wenu amtokaa msonge mbele Bali kupiga hatua 10 kurudi nyuma!
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Tatizo sisi WATANZANIA tumezoea kuchukuliwa poa ndio maana tunaropokwa namna hii. Ila tukirudi kwenye uhalisia, hii ni shutuma nzito sana. Hii kama ingekuwa ni kweli, basi hersi angefungiwa sio chini ya miaka15 hasijiusishe n gozi, wachezaji wote wa yanga wangefungiwa n team ingefungiwa kwa miaka kadhaa. So hii shutuma ni nzito sana. Tushukuru mungu viongozi wa yanga watakuchukulia poa tu, kama lindezi moja limekurupuka n kujaribu kuupotosha uma. Ila kama wakiamua kukufatilia, ndugu yangu wewe jela au faini ya kwenda kwa kuichafua brand ya team, viongozi n wachezaji wake. Tuwe makini n kauli zetu, mazoea yatatunga! Tukumbuke mamlaka ikitaka kukupata jf itatoa ushirikiano, so tuwe makini, kauli zetu za kishenzi shenzi litamtupa mtu rumande.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Huu upumbavu ulioandika hapa una ushahidi nao?, unapotoa tuhuma kama hizi sio kwamba zitaiumiza yanga bali mpira wa Tanzania. Rejea malalamiko yaliyokua yanatolewa na timu pinzani za Simba et kuna dawa zinapuliziwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
 
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!

Simba walibweteka na yale mafanikio ya misimu 4 nyuma wakawa wanajipiga kifua kwa kuingia robo fainali mechi za kimataifa na kuishia hapo wakati huo wenzao walikuwa na mikakati thabiti ya kutengeneza kikosi Bora na management Bora vitu ambavyo vinawalipa kwa sasa, walibezwa kuwa wamecheza fainali ya kombe la looser na timu zilizokuwepo wakadai zilikuwa ni dhaifu lakini Cha ajabu kabisa timu zile zilizokuwa kombe lile la looser ndio zimetinga robo fainali ya klabu bingwa barani Africa zikiwa na mechi moja moja mkononi!

Timu hizo ni Asec mimosas, Yanga na TP mazembe, Asec kaongoza kundi lake, Tp mazembe kaongoza kundi lake na yanga anakwenda kupambana kuongoza kundi lake!
Na wale waliocheza iyo klabu bingwa kwa sasa bado awajafuzu wanapiga hesabu za TUKI na WAKI ili waone Kama watafuzu!

Kwa maana iyo kichaka cha mafanikio ya kufika robo fainali klabu bingwa na chenyewe kimefyekwa RASMI baada ya kufyeka kile Cha kombe la shirikisho Sasa tunataka tuone watajificha Tena kwenye kichaka gani

Mechi za ndani yanga katawala na mechi za nje anakwenda kuweka historia nyingine ya kibabe kwa vitendo na sio blah blah za mitandaoni!
Muheshimu sana jirani yako ambaye hajajenga nyumba angali ana kiwanja pembeni yako maana hujui atashusha aina gani ya jumba.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Dawa za kusisimua misuli ni vidonge tu na wala hawatumii mabomba ya sindano CAF wana jukumu la kupima wachezaji wote na pia wakiwa na mashaka na mchezaji yeyote anaitwa na kwenda kupimwa kwenye maabara yao..unaona wachezaji wa Yanga wamechoka mpaka kupiga V pass wanashindwa mpaka kutolewa unazungumzia dawa inaonekana hakuna kitu unajua kuhusu mpira na pia hizi Timu hazikai na wageni tofauti Hotel moja hata iweje ndio maana wana book mapema kwa hilo utakua umedanganya kawatafute wengine sio hapa kwa watu wa Mpira..
Uko yanga wenye akili ni wawili tu! Hivyo sishangai umeshindwa kutafuta maarifa kujua dawa za kusisimua misuli ziko za aina gani!

Ushamba wako na kukosa exposure ndio maana unawaza eti timu ikifanya booking ya hotel wateja wengine hawaruhusiwi kupata huduma!

Nina uhakika hujawahi kusafiri popote kwasababu huna shughuli yeyote ya maana inayoweza kukupeleka popote! Kwanza una passport wewe? Au una number ya nida tu?! Kmmyk.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Ilizuka hiyo hoja kwamba walikuwa wanamdunga Mayele Sindano,sasa yuko Pyramids ameflop! Kuna uwezekano wa hizo tuhuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Pumbavu mkubwa wewe. Umeandika ujinga wa hali ya juu. Mnahangika na kujidharirisha humu JF kwa upuuzi na upumbavu wenu.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Jipige kifua sema wewe ni MPUMBAVU [emoji23]
 
Dawa za kusisimua misuli ni vidonge tu na wala hawatumii mabomba ya sindano CAF wana jukumu la kupima wachezaji wote na pia wakiwa na mashaka na mchezaji yeyote anaitwa na kwenda kupimwa kwenye maabara yao..unaona wachezaji wa Yanga wamechoka mpaka kupiga V pass wanashindwa mpaka kutolewa unazungumzia dawa inaonekana hakuna kitu unajua kuhusu mpira na pia hizi Timu hazikai na wageni tofauti Hotel moja hata iweje ndio maana wana book mapema kwa hilo utakua umedanganya kawatafute wengine sio hapa kwa watu wa Mpira..
Yanga ya Zahera kabla GSM hajaanza ilikuwa inalala Nefaland Hotel, mara kibao tulikuwa tunapishana na kina Kamusoko kwenye lift, na kuna watu kibao tu hotelini,kwahiyo siyo kweli kusema wanachukua wao tu booking labda huko Avic Town sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Mwana-SIMBA mwenzangu kunywa maji ukweli uko wazi mtani ana kikosi , hata Saidoo tumpige sindano hamna kitu ataweza fanya… muda wake umeisha.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
porojo za vijiweni hizi

badala ya kujifunza wanafanyaje umatafuta kichaka cha kujificha
 
Huu upumbavu ulioandika hapa una ushahidi nao?, unapotoa tuhuma kama hizi sio kwamba zitaiumiza yanga bali mpira wa Tanzania. Rejea malalamiko yaliyokua yanatolewa na timu pinzani za Simba et kuna dawa zinapuliziwa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
Kabla sijadhibitisha nilichokiandika hapa! Njoo nikukague kama una marinda! Maana naona unataka kuleta ligi inawezekana huna linda! Watu wasio na marinda ndio uwa hawana aibu kabisa kubishana na uhalisia.

Mimi niliona mabomba ya sindano yaliyokwisha tumika na sio bomba moja ni mabomba mengi tu! Nikajaribu kudadisi! muhudumu akasema amepewa na mtu wa yanga akachome! Nikaunganisha dot nikapata jibu! Wewe unaleta ligi za kijinga hapa!

Suala la Simba kudaiwa kupuliza dawa kwenye dressing room lililetwa na viongozi wa yanga,hasa yule White anaeoa kila mwezi mchanga! Na yule mtumishi wa gsm ambae amepewa cheo hapo yanga anaitwa rais! Sijui toka lini rais akawa kibarua wa mwarabu
Yeye alienda mpaka kuwapokea As vita!! waliokuja kucheza na Simba hapo taifa akawadanganya na kusambaza uzushi kuwa Simba inapuliza dawa!

Kama haitoshi akawapokea kaizer Chief ya South africa akawadanganya pia,akutosheka akawapokea RS berkane akawapigia viongozi na wachezaji wa berkane simu akiwatukana viongozi na wachezaji wa Simba! Uzushi wote uliletwa na hao wawili white na uyo mtumishi wa mwarabu ambae ni rais wa kandambili.
 
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!

Simba walibweteka na yale mafanikio ya misimu 4 nyuma wakawa wanajipiga kifua kwa kuingia robo fainali mechi za kimataifa na kuishia hapo wakati huo wenzao walikuwa na mikakati thabiti ya kutengeneza kikosi Bora na management Bora vitu ambavyo vinawalipa kwa sasa, walibezwa kuwa wamecheza fainali ya kombe la looser na timu zilizokuwepo wakadai zilikuwa ni dhaifu lakini Cha ajabu kabisa timu zile zilizokuwa kombe lile la looser ndio zimetinga robo fainali ya klabu bingwa barani Africa zikiwa na mechi moja moja mkononi!

Timu hizo ni Asec mimosas, Yanga na TP mazembe, Asec kaongoza kundi lake, Tp mazembe kaongoza kundi lake na yanga anakwenda kupambana kuongoza kundi lake!
Na wale waliocheza iyo klabu bingwa kwa sasa bado awajafuzu wanapiga hesabu za TUKI na WAKI ili waone Kama watafuzu!

Kwa maana iyo kichaka cha mafanikio ya kufika robo fainali klabu bingwa na chenyewe kimefyekwa RASMI baada ya kufyeka kile Cha kombe la shirikisho Sasa tunataka tuone watajificha Tena kwenye kichaka gani

Mechi za ndani yanga katawala na mechi za nje anakwenda kuweka historia nyingine ya kibabe kwa vitendo na sio blah blah za mitandaoni!
Mtu kafika robo mara 4 ufyeke kwa kufika robo mara moja? Maajabu haya
 
Back
Top Bottom