Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
- Thread starter
- #21
Rubbish!! Mangungu anaongoza vilaza wengi sana na ndio maana Simba imeanza kuachwa mdogo mdogo na yanga kwenye mambo mengi kutokana na undezi wa viongozi wao pia utaahira wa wanachama na mashabiki wao, Mtu yeyote ambae awezi kutumia mafanikio ya mwenzake Kama somo la kufanikiwa na akawa na kichwa ngumu kukubali ukweli uyo awezi fanikiwa maisha yake yote!Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!
Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!
Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.
Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!
Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.
Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Yanga kafanikiwa kutokana na uwekezaji alioufanya akuna asiyejua yanga ilikotokea, kusajili wachezaji Bora na kuwa na viongozi imara wenye kiu ya mafanikio ndio msingi wa yanga kwenye mafanikio WALIYONAYO kwa sasa, uwezi kusajili kina Onana alafu utegemee wakupe matokeo sawa na waliomsajili pacome ni uongo!
Matokeo yake ni chuki Kama hizi unazoleta hapa, izo sindano Ina maana yanga kaanza kuzitumia tokea mwaka Jana alipofika fainali ya kombe la shirikisho? Wao caf awajui isipokuwa wewe ndio unajua hizo mambo kuwazidi wao?
Na msipobadilika kwa akili hizi naiona yanga ikiendelea kutawala soka la ndani na nje kwa miaka mingi ijayo maana mawazo yenu Kama ndio Aya na viongozi wenu amtokaa msonge mbele Bali kupiga hatua 10 kurudi nyuma!