Itengue hii kauli, maneno ya mdomoni bila ushahidi ni majanga yatakayokufika. Mdomo utakuumiza, alafu ulivyo lindezi bado unausisitiza msimamo wako. Kama bado hayajakukuta, waulizie wenzio waliowahi kukamatwa kwa njia ya vyombo vya mawasiliano. Sio kila mtu ataichukulia hii kauli kishkaji tu. Kwanza kutoa hii kauli ni kuichafua taasisi nzima ya tff, maana yanga ndio bingwa wao watz ambaye kwa kauli yako, hakuupata huu ubingwa kwa njia halal. Jiangalie wewe. Kutosoma sio ujinga, ujinga ni kutoka nje ya maadili, unakosolewa alafu bado unadinda. Yangu macho tu