Kichanga cha Faiza Ally chaanza kutembezwa kwenye mitaa!!!

Ndio maana nimesema huko uzungu wanao iga huko ulaya, ninamaanisha hata huko kuna wapumbavu, na sijasemea uswazi wala ushuani maana hawa wanajifanya ni wa mbele lakini wanakosea..
Tatizo umeanza kuhukumu kabla hujajua sababu halisi..... siku hizi watu hutengeneza habari ili wauze..... alikua anampeleka Clinic wadau walivyosema.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Tangu kazaliwa huyu mtoto probably siku 7 zimepita.
Na wale wayahud wanao tahiri watoto wa kiume siku 8 baada ya kuzaliwa mbona hawangojei siku 40 ndio wamtoe mtoto nje.

Mtoto anaweza kuugua ata akiwa na siku 3 kwahyo asipelekwe na hosptali asubiriwe kufika siku 40?

Au sababu ni faiza?
 
Huyu ni mental case tumuombee tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado mdogo mifupa haijakomaa kupata hizo shurba, anyway nahisi hautaelewa siku ukiwa mama bora utaelewa.
Mifupa haijakomaa hivyo anatakiwa akae ndani mpaka itakapokomaa ndio akapewe chanjo?
Akiumwa akaendani mpaka mifupa itakapokomaa?
Kiufupi huna hoja
na umama bora ni kuweka mtoto ndani[emoji28] unashangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mifupa haijakomaa hivyo anatakiwa akae ndani mpaka itakapokomaa ndio akapewe chanjo?
Akiumwa akaendani mpaka mifupa itakapokomaa?
Kiufupi huna hoja
na umama bora ni kuweka mtoto ndani[emoji28] unashangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo hautaki kuelewa, mie pia mtoto ana siku 3 nilimpeleka hospital mana alibanwa na mafua, ila baada ya hapo nilirudi nyumbani.

chanjo lazma, na akiumwa lazma aende hospital hata kama ana siku 2 ila ukiangalia mazingira ya hizo picha hakuwa kwenye chanjo hapo.

anyway naona tunaongea lugha 2 tofauti.
 
Lakini babe sio mbaya kila mtu na aina yake ya maisha.... ulivyotoka hospital straight home.... alivyotoka hospital akapitia hotel ale then arudi home.... picha ni moja tu me nilijua zipo picha mia za mitaa tofauti tofauti ndio tungesema kamzurulisha..... so chillax okay??

By the way mtoto wako anaendeleaje now.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Poa nijuavyo mimi siku 40 hua ni za mama na sio mtoto sema wabongo tumeadapt vitu tusivyovielewa lol.....
mtoto hana siku labda tu kimazingira uamue mwenyewe kumuweka ndani lakini mama ana siku 40 kwa ajili ya ile damu hua wanakadiria mpk siku 40 inakata so anaweza kua huru kuendelea na shughuli zingine.

Naona hata watu hufanya sherehe sijui siku 40 anamtoa mtoto lol they are absolutely wrong ila ndio tufanyaje sasa hakuna namna....

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ungenielewa pia usingeliendelea kujitia uhamnazo
kwahiyo ulitaka na yeye akitoka chanjo aende vuup mpaka home akalale kama ulivyofanya wewe?
Hawezi kupitia mall au kwa hotel sababu mtamuona si mama bora?
Embu leeni watoto wenu wake anamamlaka na maamuzi yake


Sent using Jamii Forums mobile app
 
aya mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…