KICHEKESHO: Simba Wamekuja Na Bajeti Hewa ya Bilioni 24

Kwani thamani ya Yanga ni sh. ngapi? Tuanzie hapo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Yanga wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa hisa.

Nyie formula mliyo itumia sijui mmeitoa wapi.
 
Yanga wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa hisa.
Hivi hujagundua tu kwa nini hawajaipata bado wawekezaji wajitokeze? Ndio hao wanaosema watainunua Simba wakati faida yao kwa mwaka ni 500M !? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hapa naona ushabiki unaingia.tuyaache ndugu

Ushabiki unaingia wapi. Liverpool thamani yake ilipanda baada ya kuchukua UEFA, LeBron anahisa 5m usd Liverpool,baada ya kuchukua UEFA ikapanda mpaka 32m usd.

Thamani za hisa zinapanda sana hasa timu inapokuwa na mafanikio, zinaweza kuwa title au hata stability yako kwenye mashindano unayo shiriki.
 
Hivi hujagundua tu kwa nini hawajaipata bado wawekezaji wajitokeze? Ndio hao wanaosema watainunua Simba wakati faida yao kwa mwaka ni 500M !? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
So kwani nyie faida yenu kiasi gani? Kwani Yanga washatangaza kuanza kuuzwa kwa hisa,mpaka tualike wawekezaji?

Kwa faida hauwezi kuinunua Simba,ila kwa bajeti kwa mwaka ya timu unainunua na chenji inabaki.
 
Ndio maana nasema hukutakiwa kukatiza masomo. Sasa kama bajeti yenu inaweza ikanunua nusu ya hisa za Simba, hujui ni kwamba inabidi mambo mengine yote hamtaweza kuyafanya, kama vile kumlipa Morrison, kumlipa Aziz Ki, kumlipa Luc Eymael, kuwalipa Yanga Princess, kulipa mishahara ya wafanyakazi wote akina Hersi, Ali Kamwe, Privadinho, makocha, madaktari, manesi, wachezaji, kufanya usajili, kusafirisha timu kwenda Tanga tu hapo, yaani kila kitu kisifanyike ili mapato yenu yanunue hisa za Simba kwa walau nusu yake?
 
Unazani ww kwa kuwa umeungaunga ndio una si wengine tupo hivyo,hatuweki vyeti JF bali ni nyumba ya hoja.

Kudaiwa haina maana timu haitengenezi faida,taasisi karibia zote zinadaiwa huyo Elon Musk ana mikopo kibao ya projects zake na still bado anatengeza faida na pamoja na madeni yake kainunua twitter.
 
Mimi sizungumzii kudaiwa, nazungumzia kugharamia. Ngoja nikurahisishie. Yanga imepanga bajeti kulingana na mapato yake kwamba mwaka huu itagharamia item A, B, C, D, E na F. Wala ununuzi wa Simba (item G) haukuwepo katika bajeti hiyo, na hela za mapato zimeishia hapo. Ghafla anakuja mtu anasema bajeti ya Yanga inaweza ikainunua Simba (yaani inaweza ikagharamia item G) kwa hela zote jumla za item A, B, C, D, E na F.

Ndio wadadisi tunawaambia, ikiwa mtaamua kuigharamia item G, basi kwa lugha nyingine hamtakuwa na shughuli mwaka mzima zinazohusu item A, B, C, D, E na F kwani fedha zake katika bajeti zimemalizika kugharamia item G
 
Mpaka mtu ana uwezo wa kuwa na matumizi ya zaidi ya 20bil per year maana yake mtu kama huyu anakopesheka, so unaweza ukakopa kwa ajili ya kufanya projects nyingine.

Hivi unavyo ona hizi Azam Pay,Sukari, Media unazani zimesimama hapo unazani hela ya mfukoni, sasa hapo ndipo mkopo unawabeba matajiri, unaweza ukawa na projects G,ila still kama unaona kuna potential kwenye A,B,C,D unaweza ukakopa kwa ajili ya A,B,C,D as long una uhakika faida ina ingia.
 
Kichekesho baada ya kichekesho:

Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara.

Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote kuhusu klabu yao. Hata haki yao ya msingi kikatiba ya kufahamu mapato namatumizi hawajatimiziwa.

Wana haha mitandaoni ovyo ovyo kama kuku asiye na kichwa.

Wenzenu Yanga wanavyosema Bajeti yao ni B20 wana uhalisia kwa sababu wana vyanzo vingi sana vya mapato na sponsors kuzidi nyinyi, pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwaje kulipa fasta USD 150,000 wanazotaka Cotton Sport kwa ajili ya Beki?

Una Bajeti ya Bilioni 24 lakini mpaka sasa unashindwaje kutoa USD 163,000 wanazotaka Berkane kwa ajili ya Adebayor?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unaenda kufuata Striker Rwanda? Una akili kweli?

Una Bajeti ya Bilioni 24 wakati huohuo unashindwaje kuvunja mkataba wa SAWADOGO wenye thamani ya USD 300K mpaka mna negotiate kumpeleka on loan?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwa kumalizana na Nelson Okwa asepee zake?

Watani wanachekesha mno, cha kushangaza wao serious kabisa kwenye vikao vyao wakionyesha wanaweza kushindana na Yanga SC.

Hakuna sababu ya kutengeneza uongo ili uonyeshe mashabiki kuwana misuli ya kushindana na mpinzai wenu. Jambo jema ni kujifunza kutoka kwao.
Unajua maana ya bajeti ya bilioni 24?
Hata serikali wanapotangaza bajeti bilioni 40 haina maana hizo pesa wanazo, ni fedha wanazotegemea kupata kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo mikopo, misaada, kodi nk
 
Kwa upande wa vilabu kuna mapato yanakuwa received from malipo ya installments ya kimkataba.

Yanga wanapesa kutoka azam fc ambayo wanapata kila mwanza wa msimu mpya.

Kuna sponsor wa jezi (sportpesa) ambaye naye anatoa pesa kila mwanzoni mwa msimu.

Kuna GSM ambaye kila mwanzoni mwa msimu naye anatoa pesa kwa mkataba wa dili la uzalishaji na utengenezaji jezi.

Huwezi ukasema klabu kama YANGA sc wasiwe na pesa yeyote hivi sasa...kwasabab wao sio kama serikali. Hawategemei external grants, wala mikopo ili wa-kick start their season.
 
Yaani ww ndiye kiazi, yaani hisa Mo kanunua kwa 20 bil,bajeti ya timu ni 23bil,hata
Kiazi anabishana na kiazi.
Hizo hiza za 20b ni sawa na asilimia ngapi ya thamani ya uwekezaji?
Uto ni uto tu daima mbele.
 
Kichekesho baada ya kichekesho:

Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara.

Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote kuhusu klabu yao. Hata haki yao ya msingi kikatiba ya kufahamu mapato namatumizi hawajatimiziwa.

Wana haha mitandaoni ovyo ovyo kama kuku asiye na kichwa.

Wenzenu Yanga wanavyosema Bajeti yao ni B20 wana uhalisia kwa sababu wana vyanzo vingi sana vya mapato na sponsors kuzidi nyinyi, pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwaje kulipa fasta USD 150,000 wanazotaka Cotton Sport kwa ajili ya Beki?

Una Bajeti ya Bilioni 24 lakini mpaka sasa unashindwaje kutoa USD 163,000 wanazotaka Berkane kwa ajili ya Adebayor?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unaenda kufuata Striker Rwanda? Una akili kweli?

Una Bajeti ya Bilioni 24 wakati huohuo unashindwaje kuvunja mkataba wa SAWADOGO wenye thamani ya USD 300K mpaka mna negotiate kumpeleka on loan?

Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwa kumalizana na Nelson Okwa asepee zake?

Watani wanachekesha mno, cha kushangaza wao serious kabisa kwenye vikao vyao wakionyesha wanaweza kushindana na Yanga SC.

Hakuna sababu ya kutengeneza uongo ili uonyeshe mashabiki kuwana misuli ya kushindana na mpinzai wenu. Jambo jema ni kujifunza kutoka kwao.
Huwa kuna kipindi nahisi hawa jamaa kuitwa Simba ni kama wameamua kuwa na akili za wanyama
 
Back
Top Bottom