joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yanga wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa hisa.Kwani thamani ya Yanga ni sh. ngapi? Tuanzie hapo ๐๐๐
Nyie formula mliyo itumia sijui mmeitoa wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa hisa.Kwani thamani ya Yanga ni sh. ngapi? Tuanzie hapo ๐๐๐
Hivi hujagundua tu kwa nini hawajaipata bado wawekezaji wajitokeze? Ndio hao wanaosema watainunua Simba wakati faida yao kwa mwaka ni 500M !? ๐๐๐Yanga wapo kwenye mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa hisa.
Hapa naona ushabiki unaingia.tuyaache ndugu
So kwani nyie faida yenu kiasi gani? Kwani Yanga washatangaza kuanza kuuzwa kwa hisa,mpaka tualike wawekezaji?Hivi hujagundua tu kwa nini hawajaipata bado wawekezaji wajitokeze? Ndio hao wanaosema watainunua Simba wakati faida yao kwa mwaka ni 500M !? ๐๐๐
Ndio maana nasema hukutakiwa kukatiza masomo. Sasa kama bajeti yenu inaweza ikanunua nusu ya hisa za Simba, hujui ni kwamba inabidi mambo mengine yote hamtaweza kuyafanya, kama vile kumlipa Morrison, kumlipa Aziz Ki, kumlipa Luc Eymael, kuwalipa Yanga Princess, kulipa mishahara ya wafanyakazi wote akina Hersi, Ali Kamwe, Privadinho, makocha, madaktari, manesi, wachezaji, kufanya usajili, kusafirisha timu kwenda Tanga tu hapo, yaani kila kitu kisifanyike ili mapato yenu yanunue hisa za Simba kwa walau nusu yake?So kwani nyie faida yenu kiasi gani? Kwani Yanga washatangaza kuanza kuuzwa kwa hisa,mpaka tualike wawekezaji?
Kwa faida hauwezi kuinunua Simba,ila kwa bajeti kwa mwaka ya timu unainunua na chenji inabaki.
Unazani ww kwa kuwa umeungaunga ndio una si wengine tupo hivyo,hatuweki vyeti JF bali ni nyumba ya hoja.Ndio maana nasema hukutakiwa kukatiza masomo. Sasa kama bajeti yenu inaweza ikanunua nusu ya hisa za Simba, hujui ni kwamba inabidi mambo mengine yote hamtaweza kuyafanya, kama vile kumlipa Morrison, kumlipa Aziz Ki, kumlipa Luc Eymael, kuwalipa Yanga Princess, kulipa mishahara ya wafanyakazi wote akina Hersi, Ali Kamwe, Privadinho, makocha, madaktari, manesi, wachezaji, kufanya usajili, kusafirisha timu kwenda Tanga tu hapo, yaani kila kitu kisifanyike ili mapato yenu yanunue hisa za Simba kwa walau nusu yake?
Mimi sizungumzii kudaiwa, nazungumzia kugharamia. Ngoja nikurahisishie. Yanga imepanga bajeti kulingana na mapato yake kwamba mwaka huu itagharamia item A, B, C, D, E na F. Wala ununuzi wa Simba (item G) haukuwepo katika bajeti hiyo, na hela za mapato zimeishia hapo. Ghafla anakuja mtu anasema bajeti ya Yanga inaweza ikainunua Simba (yaani inaweza ikagharamia item G) kwa hela zote jumla za item A, B, C, D, E na F.Kudaiwa haina maana timu haitengenezi faida,taasisi karibia zote zinadaiwa huyo Elon Musk ana mikopo kibao ya projects zake na still bado anatengeza faida na pamoja na madeni yake kainunua twitter.
Si za wajinga wajinga ,watanzania ni watu wa kudanganywa tuHizi timu huyu akija na hiki yule anakuja na kile
Mpaka mtu ana uwezo wa kuwa na matumizi ya zaidi ya 20bil per year maana yake mtu kama huyu anakopesheka, so unaweza ukakopa kwa ajili ya kufanya projects nyingine.Mimi sizungumzii kudaiwa, nazungumzia kugharamia. Ngoja nikurahisishie. Yanga imepanga bajeti kulingana na mapato yake kwamba mwaka huu itagharamia item A, B, C, D, E na F. Wala ununuzi wa Simba (item G) haukuwepo katika bajeti hiyo, na hela za mapato zimeishia hapo. Ghafla anakuja mtu anasema bajeti ya Yanga inaweza ikainunua Simba (yaani inaweza ikagharamia item G) kwa hela zote jumla za item A, B, C, D, E na F.
Ndio wadadisi tunawaambia, ikiwa mtaamua kuigharamia item G, basi kwa lugha nyingine hamtakuwa na shughuli mwaka mzima zinazohusu item A, B, C, D, E na F kwani fedha zake katika bajeti zimemalizika kugharamia item G
๐ฅฑ Nimekuwa nikisikia hili jambo. Hii ID ni ya kweli wazee?
Unajua maana ya bajeti ya bilioni 24?Kichekesho baada ya kichekesho:
Idara ya Fedha imeshindwa kabisa kuja na hesabu ya kutuambia mchanganuo wa msimu ulio pita kuonyesha faida/hasara.
Wanachama wako mitandaoni hawafahamu chochote kuhusu klabu yao. Hata haki yao ya msingi kikatiba ya kufahamu mapato namatumizi hawajatimiziwa.
Wana haha mitandaoni ovyo ovyo kama kuku asiye na kichwa.
Wenzenu Yanga wanavyosema Bajeti yao ni B20 wana uhalisia kwa sababu wana vyanzo vingi sana vya mapato na sponsors kuzidi nyinyi, pia GSM hana mkono wa birika kama MO kweye kutoa pesa.
Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwaje kulipa fasta USD 150,000 wanazotaka Cotton Sport kwa ajili ya Beki?
Una Bajeti ya Bilioni 24 lakini mpaka sasa unashindwaje kutoa USD 163,000 wanazotaka Berkane kwa ajili ya Adebayor?
Una Bajeti ya Bilioni 24 unaenda kufuata Striker Rwanda? Una akili kweli?
Una Bajeti ya Bilioni 24 wakati huohuo unashindwaje kuvunja mkataba wa SAWADOGO wenye thamani ya USD 300K mpaka mna negotiate kumpeleka on loan?
Una Bajeti ya Bilioni 24 unashindwa kumalizana na Nelson Okwa asepee zake?
Watani wanachekesha mno, cha kushangaza wao serious kabisa kwenye vikao vyao wakionyesha wanaweza kushindana na Yanga SC.
Hakuna sababu ya kutengeneza uongo ili uonyeshe mashabiki kuwana misuli ya kushindana na mpinzai wenu. Jambo jema ni kujifunza kutoka kwao.
Unajua maana ya bajeti ya bilioni 24?
Hata serikali wanapotangaza bajeti bilioni 40 haina maana hizo pesa wanazo, ni fedha wanazotegemea kupata kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo mikopo, misaada, kodi nk
Kiazi anabishana na kiazi.Yaani ww ndiye kiazi, yaani hisa Mo kanunua kwa 20 bil,bajeti ya timu ni 23bil,hata
Kolo FC hizo hesabu tu.Kiazi anabishana na kiazi.
Hizo hiza za 20b ni sawa na asilimia ngapi ya thamani ya uwekezaji?
Uto ni uto tu daima mbele.
Mkishafunguwa kusajili ndo utaona ushahidi,tulia tu.Hakuna uthibitisho wa hilo deni HEWA.
Huwa kuna kipindi nahisi hawa jamaa kuitwa Simba ni kama wameamua kuwa na akili za wanyamaKichekesho baada ya kichekesho: