Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
ndo ukweli ili youtube waweze ku count real views, lazima wachambue viewer mmoja mmoja, sasa kama trafick ni kubwa ndo hali hiyo inatokea .Wanaojua watakubaliana nami.Ila mwisho wa siku watarudisha views wote halali na kuondoa maroboti, spams .Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama wimbo huo kwa wakati mmoja hivyo tools za Youtube kuzidiwa na kusizi hivyo views kutoongezeka.
Hivi kweli kwa akili ya kawaida huu utetezi una mashiko? Kuna video ikiwekwa youtube ndani ya masaa 5 inagonga views 20+ lakini hakuna malalamiko ya kidwanzi kama haya.
Mimi si mtaalamu wa haya, je wajuvi wa mambo huu utetezi una ukweli?
Hapa hukupaswa hata kutuuliza kama ni kweli au si kweli maana mwanzo wa thread yako hadi mwisho inaonyesha jibu unalo na swali lako haliko balanced.Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama wimbo huo kwa wakati mmoja hivyo tools za Youtube kuzidiwa na kusizi hivyo views kutoongezeka.
Hivi kweli kwa akili ya kawaida huu utetezi una mashiko? Kuna video ikiwekwa youtube ndani ya masaa 5 inagonga views 20+ lakini hakuna malalamiko ya kidwanzi kama haya.
Mimi si mtaalamu wa haya, je wajuvi wa mambo huu utetezi una ukweli?
Nyimbo ya anaconda ya nicki minaji ilipata views mil 19 kwa masaa 24...sikuwahi kusikia views zikihesabiwa..
Nyimbo ya seduce me ya alikiba ilipata views mil 1 within 24 hrs sikusikia mambo ya kuhesabu views iweje hizi ngurumo ndo ziwe hivi???
Sio kweli kwasababu nyimbo ya nick minaj CHUN LI imefikisha viewers mill 20+ ndani ya siku tatu hakuna tatizo kama ilo pili angalia nyimbo kama despacito ina viewers zaid ya 5 billion hakuna malala miko yoyote ni nyimbo tyu yenyewe imekaa ovyoKama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama wimbo huo kwa wakati mmoja hivyo tools za Youtube kuzidiwa na kusizi hivyo views kutoongezeka.
Hivi kweli kwa akili ya kawaida huu utetezi una mashiko? Kuna video ikiwekwa youtube ndani ya masaa 5 inagonga views 20+ lakini hakuna malalamiko ya kidwanzi kama haya.
Mimi si mtaalamu wa haya, je wajuvi wa mambo huu utetezi una ukweli?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Utetezi kafiri
Labda youtube wanamuonea donge alikibaMashabiki wa kiba wakubali tu nyimbo ni kimeo haina mvuto ndo maana watu hawa angaiki hata kuitazama
Psy Gangam style
Nick minaj anaconda
Adele hello
Wiz khalifa see you again
Ni nyimbo zenye viewers wengi sana na hazikuwahi pata misuko suko kama ya aka kajamaa kwamba traffic kwake ime zid kwa umaarufu upi alio nao waku simamishiwa views!!!