Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Kama tunavyojua wengi kwamba wimbo wa Ali Kiba kwa siku mbili views za Youtube zinaenda kwa mwendo wa kobe. Nimesikia utetezi kupitia Clouds Fm kuwa hii yote imesababishwa na watu wengi kuutizama wimbo huo kwa wakati mmoja hivyo tools za Youtube kuzidiwa na kusizi hivyo views kutoongezeka.
Hivi kweli kwa akili ya kawaida huu utetezi una mashiko? Kuna video ikiwekwa youtube ndani ya masaa 5 inagonga views milioni 20+ lakini hakuna malalamiko ya kidwanzi kama haya.
Mimi si mtaalamu wa haya, je wajuvi wa mambo huu utetezi una ukweli?