Kicheko wa Efm achukuliwa Clouds

Hahahahaha! huu mchezo hauhitaji hasira si ndio wanavyosema Efm? wasikasirike kwani unachomtendea mwenzio na wewe utatendewa,kwani na wao si waliwachukua watangazaji kibao kutoka radio zingine kama Kina Kitenge,Maestro ,Dina,Penny na wengine.

ila hata mimi napenda kile kipindi chao cha michezo kiko poa sana.
 
Umenena mazito sana Mkuu.
 
Mbona sijawahi msikia e FM?hata SAA hii nasikiliza sports hq,na baadae ataingia dina Mario's huyo kicheko anasikika SAA ngapi?
 
Mbona sijawahi msikia e FM?hata SAA hii nasikiliza sports hq,na baadae ataingia dina Mario's huyo kicheko anasikika SAA ngapi?
Inakua kama sa 2 hivi za usiku kipindi chake sina uhakika nahisi ivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…