Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Kichuguu si Mlima CAG: Chuki Dhidi ya Magufuli imewatoa ufahamu sasa?

Huyo unayemtetea ndiye anaikamua JF mahakamani. Wewe endelea kumtetea inaezekana akaamuamuru DPP afute kesi.

Tanzania tuna CAG mwenye elimu ya kuunga unga.

Tz tuna CAG tuliye ambiwa hawezi kazi na akatumbuliwa.

Alafu mtu huyo huyo akamteua awe CAG... JE kama kazi ya TRA kashindwa atauweza U-CAG?

Only in tanzania.

Kwa mtindo huu Tanzania ya viwanda itaendelea kuwa wimbo wa jukwaani tu.

Pathetic!
 
Mungu na yeye anajua, hawa jamaa wangekuwa majority nchi hii tungekoma, wana chuki na roho mbaya kwa yoyote asiye wa kwao, angalia jinsi wanamvyomfagilia Mkuu wa Mkoa wa Tabora ingawaje ni CCM.
Angelia yule ex CEO wa CRDB alikuwa boss wa crdb kwa muda mrefu tangia kubinafsishwa kwa crdb muda ukaisha Magufuli kuteuwa mwingine wakaanza chuki na maneno, haya walimchukia Kardinali Pengo, Askofu mpya wa Dar kateuliwa furaha na shangwe alipoumwa wakaanza maneno, lkn Pengo aliumwa mara nyingi hawakuwahi hata kumpa pole.
Lkn uzuri ni kwamba wao kwa wao pia wanachukiana kuliko chochote, hivyo wanachokifanya ni projection ya chuki yao kwa wengine.
Sasa crab mbona ni benki imefanya wonders nchi ni nakutengeneza fursa za ki benki kwa wananchi kila mahali nyie majority muna kulia wenyewe hakuna kitu pumba tupu kila kitu kinashuka umoja wa kitaifa umevunja munauwa sana sana mumeharibu mifuumo wa kazi elimu afya kila kitu zero munatukuza Mtu badala ya mifumo ya ki serikali ki sheria na kikatiba imefika mahali uchaguzi wa serikali za mitaa munaubomoa nyie zero hakuna cha kujifunza toka kwa Magufuli fisadi papa hataki kuchunguzwa ameweka CAG mwizi mwenziwe
 
Mbona mengine mnasemaga anamuenzi Julius, Tena sie tunaendekeza siasa? Alim demote mwenyewe just for curiosity watu wasihoji?! Mbona Kama kocha anatatizo na sio wachezaji au haya haya tuhusu basi tunawashauri man u tu
 
Sasa crab mbona ni benki imefanya wonders nchi ni nakutengeneza fursa za ki benki kwa wananchi kila mahali nyie majority muna kulia wenyewe hakuna kitu pumba tupu kila kitu kinashuka umoja wa kitaifa umevunja munauwa sana sana mumeharibu Fumo wa kazi eliminated afraid kila kitu zero munatukuza Mtu badala ya mifumo ya ki serikali ki sheria na kikatiba imefika mahali uchaguzi wa serikali za mitaa munaubomoa nyie zero hakuna cha kujifunza toka kwa Magufuli fisadi papa hataki kuchunguzwa ameweka CAG mwizi mwenziwe


Umejawa na chuki sana, haina afya kwa maisha yako, huyo ceo wa crdb wala hakujui achilia mbali hata kujali kama una exist!
 
sio kila linalofanywa sababu halijavunja sheria basi ni sawa lifanyike.., kabla ya kufuata sheria inasemaje cha muhimu kujiuliza ni je alikuwa ana-fit kwenye kazi yake, kama anafit kwanini aondolewe.., na anayekuja ni bora zaidi ?, kama anapwaya basi ni vema ameondoka...

hayo mengine ni immaterial...
 
CAG hapaswi kutiliwa Shaka kichere tuliambiwa hawezi kazi hafai kwa nini amuweke Mtu alimtimuwa si amtawale awe anajadiliana Naye ipi ripoti itoke kama alivyouwa bunge na mahakama haha Magufuli a total failure lost case kabisa
 
Sawa ila asingemchagua kilaza wa kwenda kufanyia majaribio kodi zetu. Tumeshachoka kuona vijana wanasoma na kupata shahada ila ajira hakuna, na wapiga domo wasio na elimu ndio wanapewa kazi serikalini.
Aha, sasa hili linaweza kuwa hoja; miye simjui huyo Kichere zaidi ya wakati alipoondolewa TRA... wengi waliona kama demotion fulani hivi.
 
Wewe mtu hujui maana ya katiba na muongozo wa kanuni za taasisi ya umma. Umeandika hovyo hovyo mawazo ya kijinga ili yule mtu akuone. Mumeshaujua udhaifu wake imebaki kazi kwenu kujito ufahamu na kuweka akili pembeni. Kabla hujaandika madudu humu uwe unajiridhisha kwanza!

Sasa nakueleza. Magufuli kwa kuteua CAN mpya kavunja katiba ya nchi mchana kweupeee. Na hata tafsiri sahihi ya maneno yaliyopo kwenye kanuni zinazoongoza ofisi ya CAG hajaielewa achilia mbali kama tutajielekeza kwenye kanuni na kuitupa katiba kama yeye alivyofanya.
Mbulula katika ubora wake!! Yaani wewe kula kulala uizidi Taasisi ya Urais?
 
Kwa hiyo kwa mtaji huu sioni kosa laBenard Membe kugombea urais kwa ticket ya CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani ambaye yupo kwenye term ya kwanza ya miaka 5.
Tuache double standards
Ndio mambo kuchanganya; kuna mahali popote nimewahi kuhoji lengo la Membe kugombea Urais kupitia CCM au kuchukua fomu? Mbona hata siyo la kustahili kujadiliwa?
 
Back
Top Bottom